Having sex on the first date | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Having sex on the first date

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Nash mberwa, Apr 13, 2012.

 1. N

  Nash mberwa Member

  #1
  Apr 13, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naomba galz wanisaidie,hv n vizur kufanya mapenzi on your first date coz i am confused
   
 2. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #2
  Apr 13, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  are you confused...?or did it?...ooops um not a girl...how do i delete this...!
   
 3. Primitive

  Primitive JF-Expert Member

  #3
  Apr 13, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 223
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Watoto wa siku izi bana!?
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Apr 13, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  duh, hata kama ni choroko za Tanga hapana aisee.
   
 5. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #5
  Apr 13, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  hivi wewee....nimekushindwa walah!..
   
 6. N

  Nash mberwa Member

  #6
  Apr 13, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kuna msichana 1 nilimtupia verse akatik.nikamshawishi twende geto akakubali,tulipofika nikaishia kuongea nae,nikamtouch kidogo na kumkiss halafu nikamsindikiza.siku iliyofuata alikuwa hatak kuongea na mimi wala kuniona.thats why nikauliza sabab alikuwa first date after my 22 yrs living like a holy person.sijui nimbembelezeje turudiane
   
 7. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #7
  Apr 13, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,509
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Some do sex even before date!
   
 8. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #8
  Apr 13, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  One night stands, is differrent with first date, I remember the day niliyofika campus, mzumben some years ago, my friend meet with a lady katika line ya registrations which at that day night they had perfect one night stand, he ddnt know the way it was happening, but they end up making love without kutongozana, and a date and commitment zikafata later and they had a kid, na sasa hivi ndo tupo kwenye maandalizi ya mwisho ya harusi yao wekend ijayo april 21st, yaani relation yao ilikuwa nzuri kila mtu aliitaman na ilianzia kwenye one night stand, hopin auditors wanaopiga mzigo pwc wameshajua wahusika
   
 9. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #9
  Apr 13, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  u stil holy i can say...maana wachache wanaweza iyo...kitendo cha yeye kukubali kwenda geto...amekwisha!...

  mm naona bado unaweza ukaongea nae na akaelewa...labda kama kuna zaidi ulilomfanyia...
   
 10. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #10
  Apr 13, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  hii tamu aloo!..
   
 11. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #11
  Apr 13, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  aiseee!!
   
 12. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #12
  Apr 13, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  we endelea kuwa padri tu mkuu.
   
 13. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #13
  Apr 13, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,963
  Likes Received: 1,851
  Trophy Points: 280
  to be sincere it is not good, ww ni mwanamke bwana lazima ujue kuringa kidogo.Nikupe siri moja kubwa ya wakaka, ukiwa mtu wa kunata ndio unawadatisha zaid.jiamin halafu jipende, usimkashfu mtu wala kumtukana lakini weka mapozi ya kufa mtu. Mwache kwanza akugharamie kimtindo. Siku hizi kila kitu ni gharama usiwe mrahisi. hata kama umempenda tulia aingie mfukoni kidogo kama mara 2 au 3 hivi ndio umpe. show him that yo are not just a woan but a special woman with every quality of a good woman. kama hujui mapozi ya kumdatisha nitafute nikue desa.
   
 14. i

  iseesa JF-Expert Member

  #14
  Apr 13, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 944
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  This is not siasa?
   
 15. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #15
  Apr 13, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Umeshindwa nini?

   
 16. stroke

  stroke JF-Expert Member

  #16
  Apr 13, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 13,390
  Likes Received: 6,565
  Trophy Points: 280
  Hihiii..ombea usitinge mjengoni kwangu...umekwisha..
   
 17. S

  Song'ito JF-Expert Member

  #17
  Apr 13, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 347
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  hii bana ilikuwa zamani, siku hizi kama mtu ana nia ya kukushusha gauni atakuwa tayari kuact mpaka akukamate!! tena ukimsumbua atakuvumilia weeeee, siku ya siku ukimpa atakunywea valuuu na kila aina ya vitu ambavyo anaamini kuwa atakukomoa, akitoka hapo baada ya kula vyake ukipiga simu yake utasikia haipatikani!! kinachofata itakuwa story kwa jamaa na marafiki kuwa nimemuweza yule aliyekuwa anajifanya nguli..... sasa usiombe wakati mpo kwenye yale mambo yetu akute umembania halafu kitu kilikuwa kinaelea...atakukashifu balaa na wakati mwingine story itatoka hata kwenye magazeti ya shigongo
   
 18. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #18
  Apr 13, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  When/what is a first date?
  Mmejuana/mmetongozana kwa muda gani?
  How intimacy was your conversations (zile za simu au whatever)?
  1st date unampeleka kwako?

  Honestly, kama kulikuwa na flirtying za kuzidi, na mlikuwa dirty kwenye chatting yenu; possiblilty ya kufanya mapenzi mtakapokutana ni kubwa sana, kwani kila mtu atakuwa na hamu na mwenzake na inahitaji nguvu ya ziada kuzuia hiyo.

  lakini kama mlibehave, mkaombana contacts na kuwasiliana a couple of time then mkatoka out (say dinner) hiyo mara ya kwanza (ukiacha society inawategemea mfanye nini) hamtaweza kufanya mapenzi hiyo siku ya kwanza.

  So kukujibu swali lako inategemea circumstance mbili huenda zipo zaidi; wengine watachangia. Sijagusia ile one nite stand ya vijana ambapo mnakutana club na kumalizana.
   
 19. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #19
  Apr 13, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  You are very right! Telesex/fonesex or whatever is called. Dogo hakupaswa kumpeleka nyumbani 1st date; ilipaswa iwe kwenye public place kama alikuwa na nia ya kubehave. Some say hupaswi hata kukiss on the 1st date!
   
 20. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #20
  Apr 13, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,963
  Likes Received: 1,851
  Trophy Points: 280
  haiko hivyo,mwanamke lazima lazima ujue kunata ili upime penzi lenyewe ni la aina gani kwani ukisema umkubalie kila mtu at frist site utatembea na wangapi, ili upate nini na kwa muda gani. mwanamke silka yake kutulia na anasifiwa sana anapokuwa na minat kimtindo. mambo mengine ya sebene ni utundu tu kwani hata utumbo ukipikwa vizuri huwa unanoga. Pia siyo busara kwa mwanamke kutembea na kijivulana ambacho kikitoka hapo kinakwenda kusema mwingine ni mshamba unakuta ndo siku ya kwanza anajaribu. tulia tafuta mtu mwenye heshima zake. mdatishe sana kisha mpe dozi takatifu kama atakuacha. jamani hivi hamjawahi kumfunda mwali chumban? kama badoo basi wewe ni mdogo sana kwa haya ninayo kwambia.
   
Loading...