Have You Ever....... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Have You Ever.......

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MwanajamiiOne, May 11, 2011.

 1. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #1
  May 11, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Dears
  Am just asking

  Have you ever love someone, I mean really love her/him............... only to face the truth that that person can not be with you because may be s/he is already taken/ belong to someone else?

  How do you deattach yourself with that feeling................... What do you do/can someone do??
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Unaukubali ukweli tu!!We can ‘t always get what we want and what we want isn ‘t always what ‘s best for us!!!
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  May 11, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  I loved a girl somuch in my old days!

  We set a plan for future, to live together and raise a brand new family!
  And we couldnt hide it no more, the echo went down to all the neighborhood compounds!
  Akatumiwa barua siku moja kwa njia ya Posta, na kwa vile watu walijua kuwa niko nae, wakanipa barua hiyo ili nimpelekee!
  Nikaamua kuifungua maana miandiko ya nduguze yote niliijua, na si wao walioiandika!...mwandiko mpya!
  Nilikutana na mshangao wa maisha..."Nadhani ulifika salama nyumbani, nilifurahi sana kutembelewa na wewe"
  My hairs! I couldnt believe the Lady went all the way to Laela-Sumbawanga, mi nikijua yuko shule!..huh!

  Sikuwa na jinsi ....it was once and for all, sasa hivi tukikutana ni 'Hi...Hi'...Ana familia, nina familia!
   
 4. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #4
  May 11, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 453
  Trophy Points: 180
  Ofcoz....ni kumpotezea tu!! mwisho wa siku unampata mwingine. Kumbuka siku hizi .com ni ngumu kumiliki mwenyewe. We unakula na huku tena analiwa..maisha yanasonga...hapa haijalishi she wala he,sio wanandoa wa b,g/f...wote wapo kundi moja...chakachua .com
   
 5. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #5
  May 11, 2011
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...it happened Once, when I was 16-19yrs old. Tangu wakati huo, nilijiapiza kutolirudia kosa.
   
 6. CPU

  CPU JF Gold Member

  #6
  May 11, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Unapompenda mtu ni wazi utataka kupata penzi lake
  Njia moja wapo ya kuepuka mawazo ni kutengeneza picha ya kufumaniwa kama hivi
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #7
  May 11, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kwahiyo ulijiapiza kutokupenda tena au kutokupenda ambapo huwezi kupata nafasi???
   
 8. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #8
  May 11, 2011
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...hapo kwenye wekundu.

  Nilijifunza kumbe NO means NO bana.
  Iliniuma lakini 3yrs zilinitosha kuyajua machungu
  ya kupenda pasipo penzi.

  Siwezi kumsahau alivyonitenda...(the way she made me feel!)
   
 9. Mwendabure

  Mwendabure JF-Expert Member

  #9
  May 11, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,053
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 180
  Mmh! Kizungu tupu!!? Nimeambulia neno moja tu, lavu! Asante, nawapisha wenyewe hiyo Ngeli Mkuu.
   
 10. BlackBerry

  BlackBerry JF-Expert Member

  #10
  May 11, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 1,844
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  brandy nowards sikiliza wimbo wake unaitwa Have You Ever? majibu yote yako humo
   
 11. BlackBerry

  BlackBerry JF-Expert Member

  #11
  May 11, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 1,844
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Acha ulongo ina maana hata moja hujaambulia?
   
 12. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #12
  May 11, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Smart move!Wengi hua wanakaa chini na kuwalilia watu ambao sio tu hawajali ila hata huruma hawawaonei!Sema tatizo lingine ni kwamba kuna wakati wanawake hua hatueleweki na nataka staki zetu....hiyo ndo hua inasababisha either wewe mwanaume unasubiria kisicho riziki au mwanamke anampoteza aliyemtaka kweli!
   
 13. Mkwaruzo

  Mkwaruzo JF-Expert Member

  #13
  May 11, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  dah, mbona cha leo kipo simpo mkuu.
  Mi kwanza naangalia uustaarabu tu the nami nitajimwaga
   
 14. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #14
  May 11, 2011
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  Mwj1, how did you face the truth? ...alikwambia/uliambiwa/au ulijiambia?
  maana nimeisoma maybe btwn the lines.
   
 15. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #15
  May 11, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  MJone ni wachache saana ambao Mungu kawapa moyo wakupenda iwe haijawahi kukutokea hio, unaweza ukawa umeoa/umeolewa hata single but ikatokea kuna mtu unampenda mpaka roho inauma... But because you face the reality kua huwezi kua nae kwa sababu zozote zile roho yako inakubali na kuridhia kua you have to let go... Chukua ushauri wa BB, sikiliza wimbo huo wa Brandy wa Have you ever, the words are beautiful and I believe utafurahia... Ni kazi kupotezea, but try your best. Wish you all the luck in that...
   
 16. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #16
  May 12, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,448
  Likes Received: 81,625
  Trophy Points: 280

  Ni ngumu mno! Mwanajamii na wakati mwingine ndoa zinaweza kuvunjika ili wapendanao waendelee kufurahia mapenzi yao na hii imeshatokea mara nyingi tu katika sehemu mbali mbali duniani. Ndiyo maana Waswahili wakasema Mapenzi ni kizungumkuti. Naomba niachie hapo wala sikaribishi maswali.

  YouTube - Alyssa Reid feat P. Reign - Alone Again Official Music Video
   
 17. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #17
  May 12, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Rahisi mnooo. Wewe just assume kama huyo alyekutenda amefariki na uendelee na hamsini zako. Don't be weak!!
   
 18. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #18
  May 12, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  dah..... kabla sijajibu naomba kuuliza, JE UMEDETERMINE KUWA HUYO MTU HAWEZI KUWA NA WEWE PHYSICALLY AU EMOTIONALLY? coz many of us are still emotionally attached to someone very dear and any trigger would lead to a full flare
   
 19. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #19
  May 12, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  thanks swahiba.....
  and that was my question...

  lazima kujua alivalidate vipi their distance apart, whether physical or emotional!
   
 20. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #20
  May 12, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,682
  Likes Received: 636
  Trophy Points: 280
  I think love is just a feeling down deep in your soul.You can't just tell someone that you love him/her...you have to show it!
  Because people don't care about how you feel,but what you do!!
   
Loading...