Have You Ever.......

Hahahahahaaaaa ina maana sie vimbaombao hatucheat??

Gaga ku-cheat ni tabia ya ki-africa na inaongezeka sana baada ya kujilazimisha kuoa mke mmoja, fanya kautafiti utapata undani wake. ukitaka kujua Mswali ku-cheat yake jadi angalia mpaka kaweka msemo "kitanda hakizai haramu" huo msemo kwa lugha rahisi una maanisha kucheat kwa mwanamke ipo!
 
Yaani afadhali wenzetu wazungu wamelelewa kutovumilia mtu kama umemchoka , akimpenda mwingine anamwacha kabisa wa zamani, sie hatuwezi sijui tuna huruma au nini!
 
Mmmmh.....Kimeumana......will be back...

hommie hakika KIMEUMANA....!

mimi nitatofautiana wewe kwamba I WILL NOT BE BACK in this thread.

maanake dah!naona heading ya hii thread ingekuwa ni MPAMBANO WA WASANII
 
hommie hakika KIMEUMANA....!

mimi nitatofautiana wewe kwamba I WILL NOT BE BACK in this thread.

maanake dah!naona heading ya hii thread ingekuwa ni MPAMBANO WA WASANII
Hivi kuna mpambano humu kwa hii thread? mbona sijaunote?
 
hommie hakika KIMEUMANA....!

mimi nitatofautiana wewe kwamba I WILL NOT BE BACK in this thread.

maanake dah!naona heading ya hii thread ingekuwa ni MPAMBANO WA WASANII

Teamo Ti,
Mfalme wa amani,
Msaada hauna risiti,
Baba ya kula Kibua,
Baba ya kuwahi Tabenako
Baba ya G,
Muzee ya griii

Hatimaye amefufuka kama alivyosema!
 
Nilipenda mpaka nikawa nalia, mbaya zaidi niliyekuwa nampenda alikuwa hajui kama nampenda, nikajitosa kumuazima cd fulani baada ya hapo ilikuwa ni history, mapenzi yetu yalikuwa ya ukweli sanasana mpaka mazingira yalipotutenganisha, huyu kaka kwa kweli bado kashikilia kisehemu fulani kwenye moyo wangu, i will alwayz treasure our moment together
 
Kaka acha uchoyo share with me please!!

How did you de-attached from that love feeling! Did you go for it even if you know you could not have her or did you just let the feeling dry and die?

It is not easy for the "feeling" to die unless it was not real! What you have to do is RUN AWAY! keep a distance from that person, reduce contact with him/her eventually you will get used to cherishing the sweet memories without actually consumating your impossible "Love" Decide to stop privacy with the person as well as frequent communication.
 
ni ngumu sana kusema ukimbie ukweli japo ndivyo inavyotakiwa kuwa na wengi watakushauri upotezee but when it comes to reality its HARD! lakini ndo hivyo inabidi kujikaza kupotezea msije mkaumiza na wengine ambao watakuwa wanahusika kwa njia moja au nyingine..mapenzi upofu!
 
Code:
Dears
Am just asking 
 
Have you ever love someone, I mean really love her/him...............  only to face the truth that that person can not be with you because may  be s/he is already taken/ belong to someone else?
 
How do you deattach yourself with that feeling................... What do you do/can someone do??

Ukiona mambo hayaendi utakavyo furahia..........................kwa sababu ni kuwa huyo siyo chaguo la Mwenyezi Mungu........ukilazimishia basi ujue lako ni baya linakusubiri mbele ya safari.....................
 
Kitu pekee nilichojifunza katika maisha yote ya mapenzi na kuvunjwa moyo ni ukiwa na uwezo wa kusahau na ku-let go basi mtu hata umpendeje ni atapita tu na utaweza ku-move on.
Nimefanya hivyo mara zote na ninaishi kwa furaha sana saiv, na pia siogopi kupenda tena na tena
 
Really!!! you can just let it go like that! lucky you
 
MJone!

Unafunga ukurasa huo unanza mwingine kwa upya na upole zaidi.................yaani swaaaaaaari kabisa hapa!
 
Nilipenda mpaka nikawa nalia, mbaya zaidi niliyekuwa nampenda alikuwa hajui kama nampenda, nikajitosa kumuazima cd fulani baada ya hapo ilikuwa ni history, mapenzi yetu yalikuwa ya ukweli sanasana mpaka mazingira yalipotutenganisha, huyu kaka kwa kweli bado kashikilia kisehemu fulani kwenye moyo wangu, i will alwayz treasure our moment together

Duh walaah vile.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom