Have we forgotten illegal sales of houses by Magufuli?

IslamTZ

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
309
182
Tanzanians are very double standard creatures who are driven by emotions rather than objectivity. Magufuli illlegally sold goverment houses, yet if do a survey now people will tell Kikwete got it right when he put him under Ujenzi/ Miundombinu Portfolio. I reallly cant understand the Tanzanians.
 
If you make a thorough analysis of Magufuli's Ujenzi/ Miundombinu term during Mkapa's reign not only will you discover illegal selling of houses but also corrupt giving of tenders to the Chinese for road construction, reassigning government's projects to suite his personal interests etc. I really don't understand what is our problem we people.
 
The truth is there some people who dont know..... and those who does have got short memories
 
Ukisema ni illegal sales unakosea it was legal but hoja ni was it the right decision ?
Kitu kingine haukuwa uamuzi wa magufuli ulikuwa ni uamuzi wa Cabinet.

Tofautisha maamuzi yanayofanywa na cabinet na yale yanoyafanywa na waziri. Mfano kuwatimua makandarasi ni uamuzi wa waziri akishawishika wamekiuka badhiya mikataba. Kama kweli aliwafukuza bila kufuaata kanuni sheria tungesikia wizara inaambiwa kulipa fidia kama kwa yaliyotokea kwa Tanesco.

Magufuli ana weakness zake kama binadamu wengine lakini ukimuweka kwenye mzani weka mazuri na mabaya yake

  • How namy Km of Roads zilizojengwa wakati anasimamia wizara
  • How many new Houses
  • etc
Utagundua kuwa hata ukishindanisha wajinga lazima apatikane wa kwanza. Na ukiambiwa kutafuta wenye nafuu CCM basi ni Magufuli ni mmoja wao.
 
mkuu kama vile ulikuwa kichwani mwangu maana umeandika hasa nilichokuwa nafikiria kuandika
 
Xuma we expect JF to discuss issues like they have been to school!
Present your facts!
 
Mtu anaibuka na kusema uamuzi wa kuuza nyumba ulikuwa ni wa Magufuli
Pls give us break.

Ni vyema kujadili vitu tunavyovielewa si kwa vile tuna access na internet then iwe ni sehemu ya kuonyesha bitterness kwa watu.
 
Mkapa insisted on the sale of those houses to civil servants. No one knows why alisema 'wauziwe na wawezeshwe' Of the evils that I have seen in Tanzania, this is one of the least kwasababu angalau kuna wazawa wachache wamepata kitu, sio kila siku wahindi tuu na watu wa nchi zao huko... Serikali haiwezi kumiliki mi nyumba si wenyewe mmetaka capitalism, ndio hiyo sasa imechanganyika na ujamaa fixed prices for govt leaders and politicians. A little bit of an expanse as far as the Tanzanian middle class is concerned. Rent zao zama expatriots watakula kwenye baa zenu na kununua bidhaa madukani kwenu nanyie mtasomesha watoto wenu, kuliko mngeskia kauziwa Dewji zote akishirikiana na Familia gani sijui Dubai huko au Oman...lol Lets be realistic.
 
Ukisema ni illegal sales unakosea it was legal but hoja ni was it the right decision ?
Kitu kingine haukuwa uamuzi wa magufuli ulikuwa ni uamuzi wa Cabinet.

Tofautisha maamuzi yanayofanywa na cabinet na yale yanoyafanywa na waziri. Mfano kuwatimua makandarasi ni uamuzi wa waziri akishawishika wamekiuka badhiya mikataba. Kama kweli aliwafukuza bila kufuaata kanuni sheria tungesikia wizara inaambiwa kulipa fidia kama kwa yaliyotokea kwa Tanesco.

Magufuli ana weakness zake kama binadamu wengine lakini ukimuweka kwenye mzani weka mazuri na mabaya yake

  • How namy Km of Roads zilizojengwa wakati anasimamia wizara
  • How many new Houses
  • etc
Utagundua kuwa hata ukishindanisha wajinga lazima apatikane wa kwanza. Na ukiambiwa kutafuta wenye nafuu CCM basi ni Magufuli ni mmoja wao.

Ok uuzwaji haukuwa illegal.

Nyumba walitakiwa kuuziwa watumishi wa umma, je mdogo wake aliyeuziwa wakati sio mtumishi wa umma, na yule kimada wake aliemuuzia/mpa nyumba mitaa ya Ubungo? was that legal.
 
ndugu hawa watz ni wa kuachana nao. mimi hata uhodari wa maghufuli/mwakyembe siuoni na ilishawekwa thread hapa ya hiyo maneno. makuwadi wao walipiga filimbi utadhani saa ya kumtoa mwali imewadia! hopeless kabisa short sighted hawa
 
Ok uuzwaji haukuwa illegal.

Nyumba walitakiwa kuuziwa watumishi wa umma, je mdogo wake aliyeuziwa wakati sio mtumishi wa umma, na yule kimada wake aliemuuzia/mpa nyumba mitaa ya Ubungo? was that legal.

Ndio maana nimesema kila mtu an weakness zake. lakini ukifany unbiased evalution ya hwa tulionao Magufuli is far better or best.

Mimi nikiangalia mpungufu yake nikicompare na performance yake nikicompare na wenzake naona amewaach mbali.

magufuli kidogo ana test ya utendaji.wengi tulionao ni pure wanasiasa na maneno matamu na kuogop kuckua maamuzi mgumu. Magufulia akiqualify kuwa mwanasiasa kamili kama wenzake akajua kucheza na magazeti then .mhhhh.............................
 
Tanzanians are very double standard creatures who are driven by emotions rather than objectivity. Magufuli illlegally sold goverment houses, yet if do a survey now people will tell Kikwete got it right when he put him under Ujenzi/ Miundombinu Portfolio. I reallly cant understand the Tanzanians.You're just a paranoid person, what you say fits your emotions exactly. How did Magufuli manage to sell the houses single-handedly if that is what you want us to believe? Come up with more important issues which affect Tanzanians not issues which affect few Fisadis (Wezi) who have eaten more than enough.
 
..kama mnadai uamuzi wa kuiba/kuuza nyumba za serikali ni wa cabinet, basi hata ujenzi wa barabara nao ni uamuzi wa baraza la mawaziri kwa hiyo pongezi na lawama za utekelezaji hazipaswi kwenda kwa waziri wa sekta husika.

..maamuzi ya kisekta ktk baraza la mawaziri huanza na wazo. baada ya hapo hufuatia mjadala na kupigiwa kura.

..Magufuli alikuwa na nafasi ya kupinga uamuzi huo ndani ya cabinet kwasababu ulikuwa unaathiri eneo analolisimamia.

..sasa kama alishindwa kujenga hoja kwenye cabinet, basi alipaswa kujiuzulu ili asilazimike kutekeleza jambo ambalo ni kinyume na matakwa na maadili yake.

..kama aliona hawezi kujiuzulu, basi alikuwa na nafasi ya mwisho ya kuji-excuse yeye binafsi ktk kuiba/kujiuzia nyumba zile za serikali/wananchi. kitu kibaya, tena cha aibu kabisa, ni kwamba Magufuli alikiuka maelekezo ya baraza la mawaziri kuhusu wizi wa nyumba zile na kuamua kumshirikisha binamu yake, na vimada wake, kwa kuwauzia nyumba za serikali.

..Magufuli aliutetea sana wizi ule kama kawaida yake akitumia "data" lakini baadaye sote tumebaini kwamba alikuwa muongo. kwanza alidai fedha za ujenzi wa nyumba mpya zingetokana na mauzo ya nyumba za zamani, lakini haikuwa hivyo na akalazimika kuomba fedha za ziada.

..nawaomba muangalie hasara ambayo taifa limeingia kwa kutokuuza nyumba zile kwa bei ya soko. tumepoteza nafasi ya kuendeleza na kupania eneo la maofisi la jiji la Dar-Es-Salaam.

..Magufuli pia anahusika kuiingiza serikali hasara ya shilingi bilioni 14 kutokana na uamuzi wake wa kuvunja kituo cha mafuta kule mwanza kwa kutumia ubabe na kukaidi ushauri aliopewa na wataalam.
 
Serikali ilianza na uamuzi wa kutokumiliki tena nyumba kwa watumishi wake. The same decision imefanyilka South africa, Zimabwe na Zambia na Namibia. Nyumba za serikali zilizokuwepo zilitakiwa ziuzwe, either kwa soko au kuwapa priority waliokuwa ndani ya nyumba hizo. Wako waliokuwa ndani ya hizo nyumba amabao hawakupenda kuzinunua. Hoja ni kuwa kipi kilikuwa bora. Soko au priority kwa waliokuwepo. Either way kungetokea malalamiko. Lakini kwa nia ya kuwapa priority wale ambao tayari walikuwa ndani ya hizo nyumba ambao wengi wao walikuwa watumishi wa kawaida na hata sio vigogo nadhani it was fare. Of course kwa style hiyo wako waliokuwa katika prime areas ambao wamebenefit the most. But that is how it works with the law. Tatizo ni wale ambao hawakubahatika kuwa ndani ya hizo nyumba wakati wa hayo maamuzi. Hao ndio wanaolalamika. Lakini logic ya maamuzi ilikuwa fare. Ukipendekeza ziuzwe kwa soko watumishi wa kawaida hawangeweza kuafford. Kwa hiyo kama wewe unapenda fareness kubali na maamuzi hayo. Kwa makosa isolated ya double allocation, au wale ambao hawakuwa watumishi na wakauziwa nyumba, au nyumba zilizokuwa katika maeneo nyeti acha yawe dealt individually kama ilivyofanyika katika maamuzi ya bunge 2009. But the general decision of selling govrnment houses was quiet fare. Wewe ungsuggest modality ipi...?
 
Back
Top Bottom