Have Fun In Dar Without Spending Money..

Have Fun In Dar Without Spending Money..

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,412
I find it really hard to have fun in this city without money.....

I have a few ideas one can do...can you guys perhaps help me out here and share some things we can do here in

Dar without really spending too much..

1-go to the Beach..

2-walk (in malls, parks...etc)

3-go to Dar Zoo or Museum

4-go to Wana Jf houses and watch movies together or chew mirungi, shisha

5-..................................
 
beach bila hata soda au crips? Hainogi.....

Dar zoo kuna kiingiliocha kulipa, hivyo lazima utumie fweza

malls bila fungu? Hata ya maji? Mmmmh

movie hakuna kiingilio?

Kila utakapoenda angalau uwe na buku ya soda loh
 
raha ya starehe ku spend hela, ila unaweza punguza garama mfano, tengeneza juice home pamoja na packed lunch, chukua mkeka na miamvuli na radio ndogo ya betri, weka kwenye gar yako beba na familia nenda kastarehe ufukweni
 
Sasa hapo unafuu uko wapi?
 
Lazima utumie pesa ukiwa dar. Especially if you wanna have fun!
 
Nenda pale manzese darajani. Panda juu ushangae chini.
 
sasa kazi ya pesa ni nini....?
ukipata sehemu za kutumia pesa uniambie.....
huko kusiko kwa pesa nenda mwenyewe.....
 
Karibu hme 2check muvi,npo tbta sio relini kwao lulu hapana,nipo barakuda.
 
Jamani i thot Boflo meant without using too much cash..esp kwa sisi tunaoanza maisha..
kama mimi pasaka hii nimekuwa nikwaza nitokea au nisave nikanunue mashuka na curtains...unajikuta uko ndani tu! unafuu pekee ni kwenda zangu pale uwakiki pub na kuangalia games then narudi home...were it not for soccer!!!
viva blues...leo tena ndo mtoko wangu wa Easter Monday...!!!🙂
 
Jamani i thot Boflo meant without using too much cash..esp kwa sisi tunaoanza maisha.. kama mimi pasaka hii nimekuwa nikwaza nitokea au nisave nikanunue mashuka na curtains...unajikuta uko ndani tu! unafuu pekee ni kwenda zangu pale uwakiki pub na kuangalia games then narudi home...were it not for soccer!!! viva blues...leo tena ndo mtoko wangu wa Easter Monday...!!!🙂
 
sure mkuu......u got ma point, wengi humu hawakunielewa
 
true dat...n its hard lakini i enjoyed kuibushi ubishi..muvi na games (oh plus friends..ila wa JF wamentosa kabisa) zimenisaidia sana..kant wait to be stable..haya maisha ya mwanzo magumu mno aisee!!!!
 
Huko beach unaenda kwa miguu??

Bofloooooooooooooooooooooooooo!!
 
Back
Top Bottom