Have a lovely and enjoyable weekend

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=dW8wrXjPs5A[/ame]
 
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=w-l5FyA3pgo[/ame]
 
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=lC0xG5vAFe4[/ame]
 
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=OJaWcDjoRpA[/ame]
 
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=eGYwXeJbD9U[/ame]
 
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=VU_rTX23V7Q&feature=related[/ame]

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=IPuUIUWE8h8[/ame]

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=pZCInHGfv2o&feature=related[/ame]
 
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=oBiTJ1nfCto[/ame]
 
Chris is still in love
[ame="http://www.youtube.com/watch?v=PHLkDiyvFoI&feature=related"]http://www.youtube.com/watch?v=PHLkDiyvFoI&feature=related[/ame]
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=0UjsXo9l6I8[/ame]
 
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=6KZ330UdfUE[/ame]
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=DzJBuD9f2C0&feature=related[/ame]
 
Weekend bila pesa ni sawa na muislam afunge halafu afturu saa kumi jioni...

Wabongo tafteni pesa, starehe zilikuwepo tangu enzi za Kaisari, so mtazikuta tu
 
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=698bXmFKCxc&feature=related[/ame]
 
Weekend bila pesa ni sawa na muislam afunge halafu afturu saa kumi jioni...

Wabongo tafteni pesa, starehe zilikuwepo tangu enzi za Kaisari, so mtazikuta tu

hahahaha tunatafuta pesa huku tunafurahia maisha na miaka inakwenda
 
BAK asante sana kwa masong yako naomba song yoyote kutoka kwa Fally Ipupa kama unayo kwenye stoo yako iniburudishe hata kama si leo
 
Dah maisha matamu kibaya kutangulia kufa si unajua maisha yenyewe mafupi haya.

Kwa mtu makini Utamu wa maisha hauwezi kuja huku kuna watu wanaliibia taifa mabilioni ya shilingi halafu hakuna hatua zinazochukuliwa, hali ya maisha ni ya kusikitisha, wasiokuwa nacho wananyang'anywa hata hicho kidogo, mikataba mibovu kila kukicha inazidi kuingiwa kwa manufaa ya wachache, wawekezaji hewa wanazidi kumiminika huku takwimu zikianika wazi kuwa kuna baadhi ya migodi imeshakwisha madini, yaani nchi iko hovyo hovyo halafu kuna wengine mnadai mnastarehe duh...
 
na kweli-tufanye nini? Tufanye kazi kwa bidii-kuisha kwa wizi kunategemea maamuzi ya wapiga kura.Kuacha kuchagua mafisadi tu basi.Haya mambo mengine ya kushtakian,hayazai matunda wala nini!!
 
BAK asante sana kwa masong yako naomba song yoyote kutoka kwa Fally Ipupa kama unayo kwenye stoo yako iniburudishe hata kama si leo

Haya Mrembo natimiza ombi lako usije ukaninyima chai ya tangawizi kwenye hoteli yetu ;). Ziko nyingi sana lakini quality wise hii ndiyo iliyokuwa na ahueni.

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=g2r5ShPF4nE&feature=related[/ame]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom