Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature currently requires accessing the site using the built-in Safari browser.
Bubu mimi nilidhani weekend ndio imeshaanza jumatatu nzimaaa, kumbe haya mambo ya Ijumaa, basi mi hii ilinipita kidogo--
Lakini hicho kitu "Take A Bow" nakizimia sana.
Vipi mambo Kisura? Naona unang'arang'ara tu kama kawaida yako...
Aisee huyo binti akitulia na kutofuata a la Whitney style, mambo ya kula unga atafika mbali sana maana ana kila kitu ambacho kinatakiwa katika Ulimwengu wa burudani. Mungu kamjalia uzuri wa kukata na shoka....naye ni kisura pia....Kwenye Fashion yumo, nasikia na Hollywood wanamtafuta sana na muziki wake unatamani kuusikiliza tu siku nzima. Nawaombea maisha mema yeye na Chris Brown hatimaye waje kufunga pingu za maisha kama Jayz na Beyonce.