Hauwezi amini katoka salama

Hauwezi amini katoka salama

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
54,352
Reaction score
43,660
Wanaukumbi.

Huwezi amini mtu aliyekuwa akiendesha gari hili
aliokolewea akiwa hai na bila madhara yoyote.

Amini ukimtegemea MUNGU katika maisha yako
kamwe hakuna tatizo litakalo kuwa kubwa kwako.

Andika "AMEN" kama waamini uwezo wa MUNGU.

1533955_250862361743257_1656445800_n.jpg
 
Mungu ni MwemA
Kila iitwapo Leo



Na wooteee tuseme Ameen
Hakuna jambo la kumshinda Yeye.
 
AMINA! .....hakika mkono wa Mungu wetu ni wa ajabu mno!
 
utaponaje hapo?haiwezekani labda kabla ya ajali jamaa aliruka
 
Picha ya google hiyo acha uongo Ritz huna taarifa kamili wewe
 
Last edited by a moderator:
kwa sababu MUNGU ametajwa kweli inawezekana ila hivi hivi. da kazi ipo
 
Nashangaa vioo yote vivunjike halafu hata kipande kimoja kisionakane barabarani au walifyagia kabla hujapiga picha?
 
Amen pia usisahau kuweka Link yake tujipakulie muujiza! One god hallelujah I think am big meech larry hover.
 
We umejuaje kama anamtegemea mungu unaleta umbea hapa.mungu habagui wanafiki walevi wevi watakatifu.wote ni wa mungu na huwajali.
 
Back
Top Bottom