Hauwezi amini katoka salama

Hauwezi amini katoka salama

Alivyouona mti akakimbilia kwenye injini kupitia kitundu cha nati iluyofunguka.
 
Ni ngumu sana kumeza alichosema mtoa mada.
 
Hakuna Kutumia Mungu kuhalalisha uongo wako!!!
Hata kama Mungu ni muweza wa kila kitu, lakini bado hajawezesha hilo!
...
Hazugwi mtu hapa!
...
my take: usitumie kivuli cha Mungu!
Weka link!
 
Wanaukumbi.

Huwezi amini mtu aliyekuwa akiendesha gari hili
aliokolewea akiwa hai na bila madhara yoyote.

Amini ukimtegemea MUNGU katika maisha yako
kamwe hakuna tatizo litakalo kuwa kubwa kwako.

Andika "AMEN" kama waamini uwezo wa MUNGU.

1533955_250862361743257_1656445800_n.jpg

Amen, hiyo ndio ile inayitwa Qadar
 
Ila sio lazima huyo jamaa alikuwa anamtegemea Mungu. Unaweza kukuta haamini mambo ya Mungu. Ujue watu huwa tunadhani Mungu anadili na watu wanaomtegemea tu, lakini ukweli ni kuwa Mungu anadili na watu wote hata wale wanaomtukana pia.
 
kwenye contena kwa chini kulikuwa na tundu kubbwa kabisa waliokuwamo wakaingiakupitia hilo tundu
 
We umejuaje kama anamtegemea mungu unaleta umbea hapa.mungu habagui wanafiki walevi wevi watakatifu.wote ni wa mungu na huwajali.
Wapi nimekuambia Mungu anabagua?
 
Hakuna Kutumia Mungu kuhalalisha uongo wako!!!
Hata kama Mungu ni muweza wa kila kitu, lakini bado hajawezesha hilo!
...
Hazugwi mtu hapa!
...
my take: usitumie kivuli cha Mungu!
Weka link!
Hizo ni fikra zako hata nikikuwekea link hauwezi kukubali kwa jinsi ulivyonijibu.
 
Picha ya google hiyo acha uongo Ritz huna taarifa kamili wewe
Kwa hiyo wewe unaona hiyo picha ya uongo hakuna tatizo hizo ni fikra zako zipo huru kuamini upendavyo.
 
Last edited by a moderator:
Haaaaaaaa tatizo hapa ni watu kutokuwa na iman na rizone ndo maana hata akipost vya ukweli watu hawamini tena
 
Angekufa tungesema Bwana ametwaa...akipona Bwana anakuwa ameokoa...
Mungu hakoseagi asee
 
Back
Top Bottom