Akizidiwa akili na beki tatu aibu nitaona mie. Yaani awe na swaga za kumteka make Wa MTU ashindwe kumteka kuku Wa kuchora? Itakuwa maajabu ya dunia.
Ulianza kusimulia vizuri sana, ikaanza kuaminika, kuna sehemu ndogo sana umeharibu na kufanya simulizi nzima kuonekana ni uongo wa kutunga.
Hakuna haja ya kumpa mtaji hsegal, fukuza, akiamua kusema mtajua namna ya kujitetea. Takataka kama hsegal atawasumbuaje vichwa kiasi hicho. Mnaweza kumpa mtaji, baada ya muda akarudi tena kutaka nyingine kwa madai msipompa atasema.
njoo nikupe ndumba house girl asahau tukio zima
Wabongo Kwa Nin Tusitengeneze Movie Maana Story Tunazo Nzur Tuu Jamani
Hahahahaaaaaaaaaa! Housgel kama huyo dawa yake ndogo sanaaa! Lakini wewe siku ukishikwa si utaliwa Kiboga wewe japo mwenye nguvu hana lazima akukodie watu.
Dawa ya beki tatu, we mtokee hakikisha una mbato, na kuna ushahidi wa kutosha wa picha na sms zinazoashiria mahusiano baina yenu. HATA ASEME WAPI, KWA NANI, ATUMIE AMPLIFAYA GANI HAKUNA ATAKAPO AMINIKA AS LONG AS UNA USHAHIDI UMEWAHI KUMPITIA. ITAONEKANA NI WIVU WAKE WA KIMAPENZI ANATUNGA TUNGA TU VITU, NA KUMCHAFUA MKE WA MTU. Ukimmbato credibility yake inaenda negative kabisaaaa.
Ukilogwa umpe hio pesa utatengeneza ushahidi afu kila siku atakuwa anataka hela zaidi. Mpaka sahivi bado kuna reasonable doubt ya kutosha tu. Fanya kama nilivokwambia. Kwanza utafaidi, maana watamu kweli wale kuku wa kienjeji, pili uatatua tatizo lako.
AMA KWELI SHETANI HATOKI MBALI UNAISHI NAE NA KUSHIRIKIANA NAE KILA KITU, AT TIMES NDO MSIRI WAKO!
Akizidiwa akili na beki tatu aibu nitaona mie. Yaani awe na swaga za kumteka make Wa MTU ashindwe kumteka kuku Wa kuchora? Itakuwa maajabu ya dunia.
Soo umeamua kuniadhirsha na kutembea na Mke wangu au sio...?Yaaani kukuamini kote huku na kukufanya rafik wa karibu kwa furaha na huzuni kweeeliii..! Yaaani hata wema wangu umeusahau pale ulipokuwa waja kwangu ukiwa na shida za hapa na pale Nami nkajitolea kukusaidia..! Poa bhaaaaana NASHUKURU sana haina shida.! Tambua tuu kuwa malipo ni hapa hapa Duniani...NASHUKURU SANA
Kama kila post unaona imetungwa then you have a problem with ur IQ.
Lazima utakua muangaliaji sana Wa tamthilia za mexico na bongo movie that's why kila post mind yako ina reflect hizo film, so you need to change
There is no point katika umri huu Wa miaka 37 niliyonayo nije hapa kutunga uongo
How old are you by the way?