Asante sana blazaMtaani hapa kuna nyumba ilishashindikana kukalika, sasahivi naona majini ndio yanajitawala maana ikifika jioni yanawasha taa asubuhi yanazima.
Mikosi ni nini na nuksi ni nini na ipi tofauti baina ya maneno haya ?Watu wengi wamejikuta wakipata mikosi kwenye maisha yao, nuksi kwa kuhamia , kupanga or kununua nyumba zilizofanyiwa mazindiko ya kishetani
Wabongo bhana[emoji28]Mtaani hapa kuna nyumba ilishashindikana kukalika, sasahivi naona majini ndio yanajitawala maana ikifika jioni yanawasha taa asubuhi yanazima.
Haha blaza katisha......majini yanawasha taa na kuzima!!??Asante sana blaza
Wabongo bhana[emoji28]
Usikute mwenye nyumba kafunga zake photocell, Nyumba Haina mtu
Kasafiri kaenda zake uko taa zinajiwasha usiku, asbh zinajizima.
Majirani mnazusha kua Kuna majini mle yanazima na kuwasha taa yenyewe[emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wabongo bhana[emoji28]
Usikute mwenye nyumba kafunga zake photocell, Nyumba Haina mtu
Kasafiri kaenda zake uko taa zinajiwasha usiku, asbh zinajizima.
Majirani mnazusha kua Kuna majini mle yanazima na kuwasha taa yenyewe[emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Haijalishi vichaka, Kama umeme upo Lazima taa zitawaka TU.Labda kwasababu sijaelezea mazingira na muonekano wa hiyo nyumba ndio maana naonekana kama mzushi tu[emoji2]
Nyumba yenyewe kwa nje ya geti imezungukwa na vichaka hadi njia ya kuingilia haionekani, ndani ya geti ni vichaka vitupu, vioo vya madidirisha vilishapasuka yani kiufupi ni kama gofu.
Kama kaunga tarrif zero,vipi swala la luku mkuu haiishi au yanajiwekea
kuna rafiki yangu mmoja alihamia kwenye nyumba flani. usiku wa kwanza ulipita kwa kuzisikia sauti za nyingi mbweha.....walilia kwa muda mrefu hadi akazoea sauti na mwishowe kupata usingizi katika hali hiyo. ila mji huo hauna mbweha kabisaa, sijui walitoka wapi?!!
kama hiyo haitoshi, siku ya pili akaota anajisaidia haja kubwa (anakunya) pale kitandani lakini alipoamka akiangalia na kujikagua hakuna kitu. siku ya pili tena, ya tatu tena...
mh! akaona ngoja ajaribu kuwahadithia watu flani anaowaamini. alipowahadithia, wote alipowahadithia walimuangalia kwa mshangao na hofu flani bila kumueleza la maana. jamaa akaamza kuhisi hapo kutakuwa na issue za kuingiliana hapo; akatimua mbio.
Mikosi ni nini na nuksi ni nini na ipi tofauti baina ya maneno haya ?
Unaishi wapi tubadilishane vyumba kwa muda uliobaki hapa ninapoishi?Kwa kuwa kuna binadamu na majini kwa baadhi tunavyoamini
Kweli majini wapo kila sehemu na tunaishi nao
Pia wengine wanaamini kuna mizimu na kama wazungu wanaamini kuna Nafsi zilizouliwa kwenye baadhi ya nyumba
Mimi binafsi kuna hotel nililala lakini cha ajabu nilikuwa naona kila wakati kama kuna kitu kinakatisha pembeni yangu ( kimvuli)
Sikushtuka sana kwani napenda sana kukutana na mambo kama hayo na nafsi hizo
Nilijaribu kuongea nae bila kupata jibu, nikalala zangu
Ila haya mambo yapo sana na nikipata fursa ya kupata haunted house ntaenda nikaone
Unaishi wapi tubadilishane vyumba kwa muda uliobaki hapa ninapoishi?