Sasa hivyo sakafu ni ya kioo au ndo michoro????.
Ni mifuko dia ya kucover viatu wasichafue kioo...Mbona kila mtu anaviatu vya blue…!?
Ni mifuko dia ya kucover viatu wasichafue kioo...
Ni kawaida baadhi ya sehem inakuwepo hasa kama hutaki kuvua viatu na hutakiwi kuchafua sehem unavicover viatu kisha unaingia navyo ndani!!Sikujua hilooo, thanx kwa kunijuzaa
Ni kawaida baadhi ya sehem inakuwepo hasa kama hutaki kuvua viatu na hutakiwi kuchafua sehem unavicover viatu kisha unaingia navyo ndani!!
Hata kwa pesa hiyo floor siwezi kutembea. Ile ya malaika hotel tu niliishindwa.
Na siku ukienda huku nakushauri usivae sketi au gauni, vaa suruali hivyo vingine majanga utakuwa kama umejipiga selfee!
Mie navaa kaptula tarehe moja hadi tarehe arobaini. Asante kwa kunistua kaka