Tyta
JF-Expert Member
- May 21, 2011
- 12,767
- 10,539
Hata kwa pesa hiyo floor siwezi kutembea. Ile ya malaika hotel tu niliishindwa.
je tunaweza sema ni acrophobia?..ni tatizo la wengi...
Hata kwa pesa hiyo floor siwezi kutembea. Ile ya malaika hotel tu niliishindwa.
wao wanaiyona iyo michoro kama iko vertical?
njoo zanzibar kwa boti upate kuzoweaNingekuwa mimi ningetapika sana, kizunguzungu
wee waionaje kwani mkuu...!.