musicarlito
JF-Expert Member
- Dec 29, 2020
- 588
- 904
Kanisa katoliki kila siku ku a sala ya kuwaombea viongozi na kwa namna ya pekee Mhe. Raisi
Kanisa Katoliki bado linashirikiana na selikari katika mambo mengi ikiwemo ustawi wa amani kwa mafundisho na utoaji wa huduma mbali mbali za kijamii kama afya na elimu bila kuchoka hata pale inapotokea kuna kutofautiana ama na serikali au viongozi wa serikali
Kanisa katoliki limewahi kukutana visa ambavyo kama si busara ya kichungaji lingekua sababu ya uvunjivu wa amani...matukio kama mapadre kuuawa na kumwagiwa tindikali machache kwa kutaja mifano
Kanisa katoliki limeanza na Taifa hili tangu harakati za Uhuru kupigania ustawi wa taifa hili...halijakoma kuonya na kutoa ushauri pale mambo hayakwenda sawa bila kujali kiongozi ni wa katoliki au wa dini au dhehebu jingine
Wakati madhehebu na watu wengine wakikaa kimya kuhusu ukandqmizaji unaoendelea sasa...Kanisa Katoliki halijakaa kimya...sasa wako katika mfungo na novena...si kuwaombea mabaya watu lah...ila kuombea mustakabali mwema wa nchi
Kanisa katoliki linashambuliwa lakini lenyewe halishambulii