Tatizo lako wewe bado hujui ule msemo unasema rafiki yako ndio adui yako, we unadhnai nchi jirani zinataka kuona Tanzania ina jeshi kali kuliko lao. Usije kushangaa kuona waganda na wanyarwanda na wakenya wako upande wa Malawi. Siasa kitu kibaya sana.Hebu taja nchi ya jirani na Malawi hata moja ambayo haina urafiki wa damu na Tanzania. Ukiipata nakurushia 10,000/=
Malawi sio ya kuiogopa kivita deplomacy tu inatosha kuwapiga
Wanaota na kung'ang'ania jambo ambalo halipo
Hebu taja nchi ya jirani na Malawi hata moja ambayo haina urafiki wa damu na Tanzania. Ukiipata nakurushia 10,000/=
unajua vita wewe au unapayuka tu
malawi hawezi kusimama pekee yake km unavyodhani
anawashirika wake wa damu na kisiasa hivo hivo kwa Tanzania.
Angalia waasi tu wanavozisumbua serikali ije vita ya nch na nch???
Siasa na mahusiano ya nchi za kusini mwa jangwa la sahara hajazifahamu vizuri huyu ndugu. Nikaona ninyamaze kidogo.Watu wanafikiri ni rahisi nchi moja kuingilia vita ya nchi nyingine...hili kasheshe likianza ni Tz na Malawi tu wataingia ulingoni...
Rais wa Malawi jana akiongea na waandishi wa habari amesema hana mpango kuingia vita na Tanzania isipokuwa tu kama atavamiwa naye atajitetea.
Pamoja na kusema hayo amesisitiza msimamo wake uleule wa kabla hajachaguliwa kuwa hata kama hana mpango kupigana na Tanzania lakini ziwa lote ni la Malawi hadi kwenye ufukwe wa upande wa Tanzania.
Tanzania haina chake kabisa.
Nilikuwa natafakari, ni kwanini ametoa maneno hayo, na kwamba ati hatapigana vita na Tanzania?
Kwani nani alisema Malawi wana uwezo kupigana vita na Tanzania? na yeye kama kiongozi mkubwa wa serikali ameshatoa tamko, binafsi nategemea viongozi wa Tanzania pia watoe tamko.
Membe toa tamko mapema kushutumu hatua hiyo na kulaani anachokifanya Rais huyu kwenye majukwaa ya siasa wakati suala lipo kwenye usuluhishi. kwani wanafikiri sisi Watanzania hatuna midomo na vyombo vya habari vya kuongelea?
Mungu ibariki Tanzania.
unajua vita wewe au unapayuka tu
malawi hawezi kusimama pekee yake km unavyodhani
anawashirika wake wa damu na kisiasa hivo hivo kwa Tanzania.
Angalia waasi tu wanavozisumbua serikali ije vita ya nch na nch???
Hivi Joce Banda yuko wapi kwa sasa?
Huwezi kujua Malawi ame egemea wapi.
Hivi Joce Banda yuko wapi kwa sasa?
mkuu nadhani hii comment umeielewa peke yako, fafanua zaidi labda kuna jambo la maana sana ulitaka kutushirikisha..Kuna muda ambao najikuta nacheka sana pale mtt anapo mpiga m2 mzima.
.made in mby city.
Kwa sasa sidhani kama anauwezo wa kupigana na uganda.Bado hujamuelewa East African Eagle
Muthalika katumia siasa hapoTatizo jukwaa hili linaingiliwa kila uchwao, watu mnasoma kitu bila hata kutafakari kidogo mnakurupuka kuchangia. Embu tujaribu kuvaa viatu vya rais wa Malawi, mnafikiri angesemaje baada ya kuulizwa swali hilo? Kwa upande wangu mimi alijibu vizuri sana tena nampongeza. Ziwa lote ni letu lakini hatutaingia vitani na Tanzania. Maana yake ziwa ni letu wote ndoo maana hana mpango na vita. Angekuwa ana maanisha ziwa lote ni lao kweli si angetoa Amri kwa watanzania walio kando kando ya ziwa wakiwemo JWTZ kuondoka au kujisalimisha Malawi? Pili kumbukeni hizi ni siasa na yeye ni mkuu wa nchi na amri jeshi mkuu, mnategemea angesemaje. Kujitutumua mhimu,
Nguvu huna, hela huna, hata mkwara. Mkwara lazima uchimbweeeee