Jina la Ziwa Nyasa Lilitoka wapi wakati Dunia inajua ni Lake Malawi?

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,125
49,844
Tanzania itafute Muafaka na Malawi kuhusu jina rasmi la Ziwa Malawi/Nyasa..

Kwa bahati mbaya Dunia inatambua Ziwa linaitwa Lake Malawi na sio Lake Nyasa kama tinavyoita sisi Tanzania.
 
Back
Top Bottom