Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,560
- 7,914
Kesho tutakinukisha mpaka wakina Polepole waachiliwe hakuna kufungua huduma zozote tutasimamisha nchi hatutarudi nyuma
SubutuuuuKesho tutakinukisha mpaka wakina polepole waachiliwe hakuna kufungua huduma zozote tutasimamisha nchi hatutarudi nyuma
Kesho tutakinukisha mpaka wakina polepole waachiliwe hakuna kufungua huduma zozote tutasimamisha nchi hatutarudi nyu
Hivi ukilipia VPN hata mtandao ukifungwa kama ilivyotokea juzi utaendelea kupata internet?ngoja nilipie Vpn mapemaa
Kila siku upo tayari kufa halafu kila siku upo haisisi tupo tayari kufa kwaajiri ya watanzania hatuta utunuku ushenzi hatutakubali
Watu wamekufa wengine wametekwa hadi hivi leo hatuwezi kurudi kwenye huduma nikuingia barabarani
Kila siku upo tayari kufa halafu kila siku upo hai