Hatutaki Ujinga ujue?

Hatutaki Ujinga ujue?

Hata mbuyu ulianza kama mchicha ,ndo tunaanza kujikongoja bandugu tutafika .Tujipongeze kwa hatua hii na tumshukuru Mungu na tuzidi kumwomba tufanye makubwa zaidi.
 
Aliposema anatamani mungu afungie mitandao ya kijamii nimeanza kumuelewa maana yake.
 
Akili za watumia makalio kufikili ndo mnatuletea humu kkma mae zenu
 
Naona wengi wanao sifia hizi ndege wamezaliwa mwishoni mwa miaka 1980 kama wangekua chini ya hapo wangejua huko nyuma tulikuwa na ndege nzuri kuliko hizi na zilikuwa nyingi. Na wauwaji wa hizo ndege ndo hawa tunawasifu na serikali yao
 
Mmh kweli wabongo hawana shukrani......sasa ndo mlitaka tuendelee kubaki hivyo hivyo tu muendelee kuisema serikali? Usipoweza ku-"appreciate" kwa kidogo basi hata kikubwa hutoweza.....Kwa roho zetu wabongo tunaomba zife na hizo ili tupate cha kuongea...Aiseee sijui nani katuroga.....
 
Yaani hako kandege hakana mvuto kabisa!
Ila mwanzo mgumu!!! Tutafika tu na sisi. Tusitake kujilinganisha na mashirika yalioendelea. Ni kama vile mtu alivunjika mguu, akafungwa P.O.P na baada ya miezi kadhaa akapona. Hatoweza tembea kama zamani hapohapo... Itachukua mda.
Tujipongeze kwa hatua tuliochukua.
Hahaaaa eti hakana mvuto kabisaaa...Siti zake kama basi za mwendokasi. Nway mwanzo mgumu
 
Mmh kweli wabongo hawana shukrani......sasa ndo mlitaka tuendelee kubaki hivyo hivyo tu muendelee kuisema serikali? Usipoweza ku-"appreciate" kwa kidogo basi hata kikubwa hutoweza.....Kwa roho zetu wabongo tunaomba zife na hizo ili tupate cha kuongea...Aiseee sijui nani katuroga.....
Kwahiyo wewe hujui nani katuroga ............ Hivi vitu vyooooooote wameviua ccm,maana tulikuwa navyo kipindi hiko,na leo hii wameturudisha nyuma wao halafu mnataka tuwasifie nyie watu mko sawa kweli............Mwalimu alishatutengenezea misingi mizuri sana ktk nchii,lakini wakaja wajanja wakaviua vyote.
 
Weka siasa kando mkuu hao lumumba fc ni janga la kitaifa.....mimi nimehoji tu hapo je ulitaka isinunuliwe hata hiyo panga boy? Mambo ya kusema tulikua navyo hiyo ishapita na hatuwezi kuvipigia mahesabu vitu ambavyo huna ni sawa na kuipigia hesabu pilau uliokula jana.....mi naona jambo la msingi ni kuanza moja unapoanguka na kuangalia tulifeli wapi mwanzo tuhakikishe hatujikwai tena sehemu ileile.....sidhani kama mwizi akivunja nyumba yako akakuibia utabaki hapo hapo na kulalamika pasipo kufanya jitihadi kupata vitu vingine tena huku ukiendelea kumsaka mwizi wako.
 
Kwa mara ya kwanza tangu niingie JF,ndio nimepewa jibu la POINT. Mara nyingi huwa najibiwa pointless,senkyu sana.
 
Hizi bangi mbichi kabisa, upuuzi mtupu mamina zao!!!
 
Back
Top Bottom