acha kupumbaza watu, utatibuje bure pasipo kuboresha maslahi ya madaktari? Ulishasikia lowasa anasema ataboresha mafao ya walimu na madaktari? Anasema atawajali mama lishe na bodaboda hajasema atawajali walimu madaktari na polisi, hao kwake hawana nafasi kabisa.
We jamaa **** kweli !! nenda kaoge umfate mme wako chumbani!!
ndiyo boom tunalitaka, leo tunalipa ada bado walimu wanadai mafao yao hawajalipwa, madawati hakuna, sasa hiyo ya bure ndo itakuwa hovyo kabisa, walimu wataanzia kwenye bodaboda kwanza ndo waje darasani angalau waongeze kipato kutokana na mishahara duni.
Acheni kutufanya mburula hatutaki elimu ya bure sie, kila mtoto akopeshwe pesa yake atajua shule atakayosoma.
Mfano tumeuona wanafunzi wa chuo kikuu wanakopeshwa pesa wanasoma kozi na chuo wanachotaka wanahitimu wanapata ajira na wanalipa mkopo.
Kwanini tusitanue hiyo huduma hadi vyuo vya ufundi shule za sekondari? Kila mtoto akopeshwe pesa yake achague shule anayotaka kusoma mbeleni akipata kipato alipe mkopo wake.
Mnataka kutugeuza dili muanze kupiga hela za mishahara hewa madawati hewa vitabu hewa huku watoto wetu wakiambulia sifuri.
Nasema elimu ya bure ya lowasa hatutaki.
Mie nadhani mburura nyie mnaopinga mleta mada hamnazo. Huyo Lowsa anaposema elimu bure ipi? Ya shule binafsi za watu na mashirika ya umma au ipi? Mbona hamjiulizi angalau maswali mepesi haya. Kabla ya mikopo vyuo vikuu tulikuwa tunapata kitu kinaitwa Bursary au financial support kwa mfano sie tuliotoka Bukoba tulipata hiyo financial support toka Chama Kikuu cha Ushirika Bukoba na baadaye wazee wetu wanalipa kidogo kidogo kwa kukatwa kwenye mauzo ya kahawa. Sijui kama ilikuwa bure. Lakini anaposema bure, je ni pamoja na hela ya matumizi kwenda disco nk? Au unakwenda shuleni na chuoni utajiju...Sasa hivi wanaopata mkopo wengi ni kama wanasoma bure, wengi wote ninaowafahamu hakuna hata mmoja aliyelipa mkono na wengi wanafanya kazi. Sasa nyie msioelewa kama unachagua kusomeshwa bure na kupewa mikopo chagua mikopo maana utajua namna ya kutumia hela yako na usumbuhi, na ndio maana sasa hivi wanafunzi wanapata hela yao safi na huwezi kuona wanapiga kelele. Kwa ufupi dunia nzima hakuna elimu ya bure.
EL anamnukuu Tony Blair kuhusu vipaumbele vyake kwamba ni elimu, elimu, elimu, ni kweli Tony alisema hivyo kwenye kampeini na alipoenda kwenye mdahalo anulizwa swali wewe umesema vipaumbele vyako, lakini mbona hapa Uingereza elimu ni bora, vijana wanasoma na mikopo wanapata kwa wakati na hatujawahi sikia malalamiko; akasema hamkunielewa, nilisema hivyo nikiwa na maana ya kufundisha wanasayansi zaidi ili na sisi tuvmbue vyombo vya kwenda kuvumbua sayari kama waMarekani na si kwenda mwezini kama Marekani tuvumbue sayari au twende sayari zingine kwa sababu kama ni elimu ytayari ipo sawa tunahitaji elimu mpya. Sasa ndugu yangu EL tunataka naye atueleze vizuri tu kwamba anapozungumza elimu ni elimu ipi. N anyie jiulizeni anayahisi ayasemayo? Au ni ule msemo wa Mwl. Nyerere (alazwe mahali pema peponi) kwamba ''Mtu akikwambia kitu cha KIPUMBAVU na akajua amekwambia kitu cha KIPUMBAVU ukakubaliana nacho ANAKUDHARAU'' Atakuwa anakirudia na wewe unamshangilia hata kwa kuzungusha mikono kama ZOMBI. Msiwe MAZOMBI. Anayetaka kuwa kuendelea kuwa ZOMBI kwa kuzungusha mikono anyoshe mkono.
Shule ya wasiwasi hebu tuonyeshe vyeti vyako tafadhari
Tumesikia maoni yako mkuu ila napenda kukujulisha kwambaa hatusikii tena wala hatuoni kura yetu ni kwa Lowassa nia yetu kuiondoa CCM madarakani hiyo elimu ya bure ikiwepo isipokuwepo hilo hatujali