Acheni kutufanya mburula hatutaki elimu ya bure sie, kila mtoto akopeshwe pesa yake atajua shule atakayosoma.
Mfano tumeuona wanafunzi wa chuo kikuu wanakopeshwa pesa wanasoma kozi na chuo wanachotaka wanahitimu wanapata ajira na wanalipa mkopo.
Kwanini tusitanue hiyo huduma hadi vyuo vya ufundi shule za sekondari? Kila mtoto akopeshwe pesa yake achague shule anayotaka kusoma mbeleni akipata kipato alipe mkopo wake.
Mnataka kutugeuza dili muanze kupiga hela za mishahara hewa madawati hewa vitabu hewa huku watoto wetu wakiambulia sifuri.
Nasema elimu ya bure ya lowasa hatutaki.