Hatutajulikana kama pesa tunazo.

Joined
Feb 7, 2013
Posts
43
Reaction score
3
Siku kadhaa zilizo pita maeneo ya nyamhongoro igoma mwanza watu wapatao 7 wamevamia guest mida ya saa 12 jioni kabla ya yote wali piga lisasi hewani ili kutisha wananchi lakni wananchi wali kakamaa natkupambana nao na kufanikiwa kuwauja wahalifu 2 walikutwa na risasi 700 .
 
hata mimi sijaelewa unachotaka kuongea maana kichwa cha habari na habari yenyewe tofauti
 
Bangi za polisi hizi, sijui kanywa viroba, anaandika kama yupo kwenye mixer!! Kyaa!
 
Mpeni nafasi; Jamenii tuwe na kasubira kidogo: kama wa kusaidiwa basi msaidieni...huyo kesh atakuwa Head of deprt.
 
Gesi la polisi.
Naona unatutoa kwenye mjadala au ulitaka kuwa wakwaza kupost?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…