Hatuongei siku ya tatu leo

Hatuongei siku ya tatu leo

Status
Not open for further replies.
yawezekana amepata taarifa mbaya kuhusu wewe,wewe usimuulize kama hujamfanyia kosa pia uwe na amani.
 
Ndiyo manake mi ya kwangu kazi yake kubwa ni chumbani lol! Inapagawishaje!!! tumpm sista tumfundishe kuitumia na chetezo lol mume gumegume ataongea tuu

Na hasa kama ume import kutoka Saudia
 
yawezekana amepata taarifa mbaya kuhusu wewe,wewe usimuulize kama hujamfanyia kosa pia uwe na amani.

najiamini sukankanwa ndio maana nimekuja kujibanza MMU ingekuwa mwingine angekuwa keshakimbilia kuzimu (watajua wanavyoita) kupigwa dei waka
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom