Ennie
JF-Expert Member
- Jan 15, 2011
- 7,137
- 4,138
haha ha ha Ennie leo naomba nikupe offer twende movie plz
Nimeipokea kwa mikono yote,tatizo OLESAIDIMU sijui ataniruhusu au ataanza story za kesho napaswa kuwahi kazini?
Last edited by a moderator:
haha ha ha Ennie leo naomba nikupe offer twende movie plz
Ila wanaume tusije na wapenzi wetu!!!!!
Hajisikii vizuri tangu jana,kazi zake namuwakilisha mie!!!!
Nimesoma hapo kwa blue tu!
Mi mbona sijauliza aku pm ili umpe nini?
Halafu unatoa siri ya kambini ujue!!!!
Ahaaaaa kumbe tupo wengi tunaojisexisha na mitandio ya madera eee?
Ahaaaaa kumbe tupo wengi tunaojisexisha na mitandio ya madera eee?
Baelezeeeee[/B]
Nimeipokea kwa mikono yote,tatizo OLESAIDIMU sijui ataniruhusu au ataanza story za kesho napaswa kuwahi kazini?
OLESAIDIMU leo umeamka na ukame wewe hutulii kwenye keypad yako. umekalia moto?
Ahaaaaa kumbe tupo wengi tunaojisexisha na mitandio ya madera eee?
daah pole sana. alfajili ya leo nimemshika kiuno kumgeuzia kwangu anigegede kagoma ajifanya kazidiwa na usingizi. nimfanyeje. hiv wanaume wengine wakoje?
natamani nikuombe photo nione lol
Mm mm mm........ karibu mpendwa! alafu ndani kwa mbaaali kuna uzi wa pale mitaa ya kitumbini lol!
halafu na wewe kwa uchokozi........
Ina matumizi mengi! Sio kuning'inia begani tu au kubanwa na pini vichwani
Pole sana ila ...Smile Nyani Ngabu Heaven on Earthkozo okamoto natamani angekuwa member humu angepata message hii. ila hamu wa kuitoa ni yeye tu kwa sababu kiu yangu iko kwake
OLESAIDIMU leo umeamka na ukame wewe hutulii kwenye keypad yako. umekalia moto?