Hatuongei siku ya tatu leo

Hatuongei siku ya tatu leo

Status
Not open for further replies.
imagine alfajili saa kumi na moja i tried kumpapasa kiuno ili nimvute karibu yangu kanitolea nje na ameamka yupo serious kama mgambo wa jiji

Hahaha..usinichekeshe. Cha asubuhi kilivyo kitamu anatimka kama mgambo wa jiji?!

Lazima kuna kitu inamsumbua katika brain yake. Ongea naye taratibu utajua tu.
 
Mbona ndio dawa..ennie unajifanya na wewe pia utaki..mimi 2yrs back nilikuwa naona kama siwezi kuishi bila yeye siku alinifanyia tukio hilo sintokaa nisahau.nililia sana aikusaidia nikaja nikaona mbona nife na bado nataka kuishi.nikasema ngoja nimwache akichoka ataacha mikausho siulizi uko wapi na unarudi muda gani..mbona aliacha moyoni namwambia hapa panaitwa mtakuja..


Nimekupenda bure! Akikuona wa nini muone wa kazi gani[/QUOTE]
Sawasawa..
 
Kinyaa?!!
Lugha yako sijaipenda

Sasa tetesi zinasoma na dalili zinaonesha unagegedwa nje nikipiga mikausho unikalie uchi hapo unantia kinyaa tu full stop.

Haina bold wala italic!!!!
 
Vipi jamaa bado amenuna au ameshakugalagaza?

hapa ndio mtakuja. nje kuna dalili ya mvua, atakuja mwenyewe nimblasitisheeee mpaka ajute kukosa cha asubuhi tena jumapili hatuna haraka ya kuwahi kazini
 
Sasa tetesi zinasoma na dalili zinaonesha unagegedwa nje nikipiga mikausho unikalie uchi hapo unantia kinyaa tu full stop.

Haina bold wala italic!!!!

OLESAIDIMU na Ennie mbona mnatongozana kwenye uzi za wenzenu? go PM huko hatawaona mtu
 
Last edited by a moderator:
Sasa tetesi zinasoma na
dalili zinaonesha unagegedwa nje nikipiga mikausho unikalie uchi hapo
unantia kinyaa tu full stop.

Haina bold wala italic!!!!

Unaishi kwa tetesi?
Ndio maana mnanuna nuna hovyo
 
Jana na juzi mume wangu karudi na kisirani. simwelewi nimemuudhi mimi au kaudhiwa huko alikotoka. kanuna tuuu. nikimsemesha anajibu kiaina kama analazimishwa. chakula mezani anaonjaonja kidogo anaacha. haki yangu yangu ya unyumba kanipa jana kwa kubip kama anatwanga mahindi kwenye kinu wala sijafika popote...mmxxiu...&%# masikini kiu yangu iko palepale. alfajili ya leo nimemshika kiuno kumgeuzia kwangu anigegede kagoma ajifanya kazidiwa na usingizi. nimfanyeje. hiv wanaume wengine wakoje?

Sasa atanikoma, simuulizi wala nini mbona ananiletea mambo ya kitoto? Basi na mie leo nitakuwa bize kama hayupo vile... ijumaa, jumamosi na leo jumapili mh this is too much!!! na mie naweka pose nitacomment thread zote na kuchat JF leo siku nzima nijiweke bize. hadi PM nitajiachia kama sina akili nzuri vile. Thax Mods for MMU najua mates hawataniacha

Smile Nyani Ngabu Heaven on Earth Washawasha sister Mzizi mkavu nipe ushauri wa kitabibu if possible Broken soul mimi49 Mrembo by Nature watu8 mwekundu miss chagga tinna cute Simplicity Eiyer etc

Ngoja niamue tu ku assume kuwa hili ni kweli

Unadhani sifa ya kuwa mke ni nini?
Kama unashindwa kung'amua tatizo lilipo unadhani una sifa ya kuitwa mke wewe?
Kama mumeo ameshindwa kuwa na busara katika lililomsibu nawe kwanini unaamua kufanya makosa yaleyale?
Kama mtu anapokuwa na tatizo lililofanya ashindwe kufikiri vyema,iweje wewe ushindwe kumsaidia wakati wewe ni mkewe?

Nyie ndio wake wa kuolewa kweli?
 
Ngoja niamue tu ku assume kuwa hili ni kweli

Unadhani sifa ya kuwa mke ni nini?
Kama unashindwa kung'amua tatizo lilipo unadhani una sifa ya kuitwa mke wewe?
Kama mumeo ameshindwa kuwa na busara katika lililomsibu nawe kwanini unaamua kufanya makosa yaleyale?
Kama mtu anapokuwa na tatizo lililofanya ashindwe kufikiri vyema,iweje wewe ushindwe kumsaidia wakati wewe ni mkewe?

Nyie ndio wake wa kuolewa kweli?

Yaani Eiyer hujaona juhudi nilizofanya kutaka kumrudisha kwenye mood? najiamini ni mke mwema ndio maana nikamwomba tu-do alfajili ndio muda muafaka tungezungumza yetu. inauma sana unapoomba kudoo mwenzio anagoma.
 
Last edited by a moderator:
watu8 mbona hivyo jamani? umeamka pekeyako leo? toa ushauri hayo ya fursa sio muda wake

Anyway...just give him some space kidogo tu, ila usiwe mbali naye kama unavyotaka kufanya.
 
Last edited by a moderator:
Sista naona umeanza kupunguza kasi...usiendelee kumkera kuchat sana..kwanza umepika??
 
Last edited by a moderator:
Anyway...just give him some space kidogo tu, ila usiwe mbali naye kama unavyotaka kufanya.

sawa namsikilizia mpaka jioni. nikiona vipi namwambia anisindikize nikamnunulie samaku coco beach. may be huko tutachat na kuelewana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom