Hatuongei siku ya tatu leo

Hatuongei siku ya tatu leo

Status
Not open for further replies.
Mfuate hapo chukua remote kwa upole huku unamkalia ukielekea upande wake na.kukata kiuno tartiiiibu huku unamwambia kwa sikioni kuwa una ny.eg.e balaaaaa na leo unakumbuka ile siku mlichapa game honeymoon,ila ujilegeze mpaka sauti sio sauti kavu kama city wanatahadharisha wapanga bidhaa chini!!!!!!

Akiendelea na mgomo huyo ni pm fasta!!!!

Nimesoma hapo kwa blue tu!
 
Kwa ruhusa ya nani na nani anafadhili mkutano wenu???!!!!

Wanafadhili watu wa Marekani,baada ya mkutano wanajamvi watajulishwa wanayostahili kuyajua katika yaliyojiri kwenye huo mkutano
 
Wanafadhili watu wa Marekani,baada ya mkutano wanajamvi watajulishwa wanayostahili kuyajua katika yaliyojiri kwenye huo mkutano

Kikulacho...mkaribishe kwa mikono miwili!!!!!!
 
Sista kimeeleweka nini mbona kimyaaaaaaaaaa!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Ennie una macho makali wewe? inaelekea shuleni huwezi kupata division 10-5

Acha tu best,yaani mpaka nafikiria kutafuta wataalamu wanipe miwani itakayonipa uoni hafifu. Tatizo yako very selective,mengine sioni kabisa hebu nisaidie kwani mwanzo aliandika nini?
 
Natamani niandae kijipati kwa members wa MMU tu. nimegundua hii forum ni kama Panadol kwangu kwa kiasi fulani
 
Acha tu best,yaani mpaka nafikiria kutafuta wataalamu wanipe miwani itakayonipa uoni hafifu. Tatizo yako very selective,mengine sioni kabisa hebu nisaidie kwani mwanzo aliandika nini?

haha ha ha Ennie leo naomba nikupe offer twende movie plz
 
Last edited by a moderator:
Ili nimpe namba yako ummegee mbinu za lile shambulio lako ambalo hata mkanda wa suruali huwa unabaki kama ulivyofungwa asubuhi!!!!!
Mi mbona sijauliza aku pm ili umpe nini?
Halafu unatoa siri ya kambini ujue!!!!
 
Natamani niandae kijipati kwa members wa MMU tu. nimegundua hii forum ni kama Panadol kwangu kwa kiasi fulani

Natamani nikusaidie kuandaa best! Kiingilio khanga moko! ha ha haaa
 
Miezi ya nyuma kuna jamaa alikuja hapa na kuandika kuhusu ugomvi wa mama yake na mkewe. Akasusa kula nyumbani na kumpa mkewe haki yake. Hapa alidhani watu watampa support lakini walimsemea hovyo ile mbaya maana mke ilifikia mpaka kumuomba mumewe amtafutie mwanaume wa kumpa haki yake. Hajarudi tena au alibadili ID. I hope mumeo hatasusia papuchi kwa muda mrefu na kukupa haki yako unayostahili kama mke. Pole sana na kila la heri.

BAK natumaini wewe ni mwanaume jingependa kujua kama umeoa au lah?
Nauliza hivyo kwakuwa jnashangaa sana watu kususia papupichii.
Kwataarifa yako hiyo ni hali ya kawaida sana kwenye ndoa, na hata wanawake wengi wamekuwa wakiyumia papuchii zao kama gimbo kuwaadhibu waume zao, yaani likiyokea tatizo badala wakae wazungumze , kwa wanaume wanasusia papuchi na kwa wanawake wanagomea kugegedwa kwahiyo hizai vitusasahivi zinatumiwa kama fimbo kuadhibiana.
Ndio maana ndoa za siku hizi zinakuwa na migogoro mingi zaidi, unajua zamani wazee wetu walikuwa wanawabaka wake zao wee ukileta zao mzigo haibembelezwi kama saahizi eti ohooo swee, darling , haney na majina matamu matamu usipoongea hivyo hupewi papuchi mapenzi ya kwenye tv mengi sana siku hizi.
Mwisho wa siku huyumwanamke anayeomba ushauri hapa wakati mwenyewe keshafanya maamuzi ya kushinda jf mume wake naye atafanya maamuzi ya kwenda kwa kima maimuna atakuja hapa kutulilia shauri zake kama waliooana bado watoto watajua.
Tunajua wakati mwingine kuna maswala ya kisaikolojia mtu akiwa na matatizo mengine maswala ya papuchii au mbuche hayapanda ni sasa na wewe mwenza unamwagia petrol kwenye moto sahauri yako
 
Aisee good newz nahisi tekniki zenu zinaanza kulipa. Ameniuliza huku ana wasiwasi 'unachati na nani huyo muda wote huo' . alaaah kumbe ana wivu!!! hahaha good start nadhani kitakachofuata ni......
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom