Hatuongei siku ya tatu leo

Status
Not open for further replies.

Nimeupenda huu ushauri, ngoja niuhifadhi kwa matumizi ya baadaye!!!
 
Haaaa...mr mpole ndio mitego ya mama hiyo..chezea wanaume anaweza akafnya vyote hivyo na ajikaushe..kuna mijitu mijeuri[/QUOTE]

Huyo atakuwa na lake jambo na dawa yake kujifanya kama humhitaji!!
 
yaani upigwe kibuti na hawala uje nyumbani umnunie mkeo!! kisha uwe non perfoma kunako ndoa!!! hainiingii akilini hii

Mh..achana na hivi viumbe my dia mimi nina mifano hai..wanadataga huko nje hatari anaweza kanyimwa nje basi analeta mawazo mpka kwa mkewe.tunajionea mengi na hizi ndoa acha tu..
 
 
Ennie unafanana na mimi! I hate to be free....... napendwa kufatwafatwa, kuonewa wivu lakini kwa yule naempenda lol!

Nitaku pm twin,naona mengi tunafanana.
Yaani hubby awe wa ndio tu kila nisemacho,hakuna challenge hata kidogo? Aaargh!!!
 

Hahahahahaha....! You just made rough... Eti hakugegedi... He is a lucky dude....
 
Last edited by a moderator:
Mbona ndio dawa..ennie unajifanya na wewe pia utaki..mimi 2yrs back nilikuwa naona kama siwezi kuishi bila yeye siku alinifanyia tukio hilo sintokaa nisahau.nililia sana aikusaidia nikaja nikaona mbona nife na bado nataka kuishi.nikasema ngoja nimwache akichoka ataacha mikausho siulizi uko wapi na unarudi muda gani..mbona aliacha moyoni namwambia hapa panaitwa mtakuja..[/QUOTE]

Nimekupenda bure! Akikuona wa nini muone wa kazi gani
 
Sasa huoni kama utakuwa watushikisha pembe tu siye wengine huku, wakati mkamuaji ni mwingine kabisa.
 
ndoa ya mda gani hiyo
mbona enzio wananuniwa miezi na wako poa tu...

watu huwa wanaboreka na maongezi yale yale sometimes
kama ana stress anataka space
sio wewe uanze kujifanya unataka attention kama mtoto mchanga

Mkuu The Boss mtu akinuna mwezi mzima si stress zitaongezeka badala ya kupungua?

Utalala na mtu kitanda kimoja mwezi mmoja hamuongei...utakuwa na amani kweli?!
 


mr mpole hiyo itachukua muda sana mi nataka leo leo. hizo siku mbili ni nyingi siwezi kuvumilia.
 
Last edited by a moderator:
Sasa huoni kama utakuwa watushikisha pembe tu siye wengine huku, wakati mkamuajini mwingine kabisa.

watu8 mbona hivyo jamani? umeamka pekeyako leo? toa ushauri hayo ya fursa sio muda wake
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…