secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 21,613
- 44,378
Vyema kabisa!Vitu tulivyo navyo sasa hivi ndio vinafanya maisha yawe mazuri,rahisi,..kinacho kutesa mkuu ni kumbukumbu za zamani...
To be honest nafurahi sana kuishi katika wakati huu wa maendeleo ya science na technology,..
YesProducers - less than 1%
Consumers - more than 99%
Ukiwa wewe ni consumer, fake dopamine au cheap dopamine zinakuhusu.
Ukiwa wewe ni producer utazalisha na kuuza fake dopamine.
Chaguo ni lako.
Sometimes ni bora kuchukua sabbatical days, or una plan hours of screen timeMoja ya namna za kupima strength za mwanadamu wa sasa ni uwezo wake wa kuji control katika matumizi ya vifaa vya kielektroniki.
Mtu ambaye 24/7 yupo kwenye simu/computer ni bomu linalotarajia kujilipua muda wowote.
Namna
Hakika mkuuKwa hakika vijana wa zamani tuli-enjoy maisha, ijapokuwa vitu havikupatikana kwa urahisi, lakini kupatikana kwa vitu vile kwa mbide ndo burudani yenyewe.
Yaani unakaa karibu na Redio siku nzima huku ukisubiri wimbo wa OSS 'chatu ni mkali' upigwe.
We had a desktop at home mzee alikuwa mkali kichizi huo muda wa kuangalia porno hauku exist. Sijawahi kutumia Cafe toka nazaliwaNakumbuka enzi za wedsexdotcom unaona pono kwa gharama kubwa na kwa usiri mkubwa usifumwe na mwenye internet cafe yake. Saivi pono is evriwea hujataka kutizama ushaletewa.
Kwa mujibu wa ubongo wa binadamu Kitu kinachopatikana kwa ugumu ndicho kinaoonekana cha thamani.Hakika mkuu
Nimeipenda hiyo ya kukaa na redio kusikia msanii pendwa.. We many of us are guilty
Hii poetic comment ina maana gani?Kuna tofauti kati ya raha na furaha.
Unaweza ukapata raha ila usiwe na furaha na kinyume chake kadhalika.
Kulinganisha nyakati zilizopita na Sasa ni kujilisha matarajio hewa.
Kama hatuwezi kurudi nyuma kwanini tuishi katika wakati uliopita?
Kama hatuwezi kwenda mbele yafaa nini kuhofu mambo yajayo?
Itakuwaje tukiacha ya nyuma (past) tupotezee yajayo ( future)?
Itakuwa vipi tukiishi wakati uliopo (Sasa)?
Thamani uetu ipo palepale maana hta kama vitu vingi vitafanywa na mashine vyoote hivyo bado lengo ni kumtumikia binadamuSasa hivi yaani hakuna raha kabisa
Maisha yamekuwa fast paced..
Dopamine imekuwa cheap kiasi kwamba mambo yalotupa furaha zamani leo tunayaona ya kawaida
We used to play game with floopy disks, leo hata smartphone ina games tena 3D kabisa
View attachment 3618629
Music was sold on cassette leo una download kwa sekunde tu una sikiliza..
Alaf hata mziki wenyewe hau enjoy, bado hapo hapo message zinaingia, magroup ya Whatsapp, telegram, mara imepigiwa video call
Jaman this is too much, the things we consume on a daily basis are making us dumb.
Tumezidiwa na mashine kwa sababu hatujui madhara ya kuwa distracted, una loose focus, kumbukumbu inakuwa tinkered.
Mimi Nahisi kabisa tunaelekea kuwa nihilistic, kila kitu kitafanya mashine na sisi hatua kuwa na thamani because tumeruhusu autonomy yetu iwe replaced by automation
We were not meant for this.
Mkuu the mind and body needs function so ukivi deprive functioning unakuwa numb both psychologically and physicallyThamani uetu ipo palepale maana hta kama vitu vingi vitafanywa na mashine vyoote hivyo bado lengo ni kumtumikia binadamu
Watu wa tech last project deadline submission lazima iwe na automation ili iweze kupita bila hivyo unaambiwa urudie, ndivyo ilivyo kila kitu ni auto manual imeachwa zamanikila kitu kitafanya mashine na sisi hatua kuwa na thamani because tumeruhusu autonomy yetu iwe replaced by automation
Hakika when you have kids, they keep you out of this mess in one way or another..Kitu chochote ambacho sio natural lazima kipoteze stimulation
Happy ndipo Wenye watoto, Kisha wajukuu Kisha vitukuu wanapowapiga gap materialistic
Lakini sio mara zote inakua hivyo kuna watu wanao watoto lakini hawafurahii kua na watoto, ipo hivyo yaanHakika when you have kids, they keep you out of this mess in one way or another..
They help you get out of constant and destructive dose of unhealthy pleasure
Pure joy comes from children