Mudawote
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 10,490
- 13,551
Ieleweke, maana kuna wengine walidhani na wanaendelea kudhani kuwa tulimpigia chepuo Dr. Magufuli wakidhani tulitegemea kupewa fadhila, la hasha, bali yalikuwa mapenzi ya dhati kwa nchi yetu. Na mpango mkakati ilikuwa kuhakikisha nchi inapata rais mzalendo, mpenda wananchi na muadilifu. Baada ya kukamilika hilo sasa kwetu kila siku ni sherehe tu, maana kila mtanzania na dunia inamkubali Dr. Magufuli.