Yuda ana walinzi.Enzi zile Polepole akifanya hikihiki tuliambiwa mengi sana, wengine walisema maigizo,wengine walisema ni shujaa tuliyemsubiri muda mrefu lakini hatukumlinda, kwa kuwa Yuda amekuja kuomba msaada kupata nguvu ya Umma basi tuache maneno tumlinde,asijekupotea kama Polepole ndio tujilaumu hatukumlinda.
shetani akiniambia 'YESU Anaokoa'. Mimi nitabaki na ukweli huo. Sitamwangalia shetaniHuwajui ccm wewe
Mkuu pengine una miss point hapa. Kuna wanaoamini kuwa hata kule kuitwa ''yuda'' ni mpango uliopangwa. Na kuna wanaokwenda mbali zaidi na kusema hata zile tetesi zilizojitokeza kabla ya uchaguzi kuwa Samia anataka kubadilisha mgombea mwenza asiwe Nchimbi, ilikuwa ni mpango maalum. All in all, siegemei upande wowote bali nadhani tujaribu kupima mambo kutoka kila angle. Kuna mvutano wa kweli? Ni geresha tu? NB: kwa upande wangu nimeegemea zaidi kwenye nadharia ya mvutano wa kwel... kwani hata gazeti la African Intelligence liligusia kuwa kuna mvutano.Kwenye hili nakataa.
Nchimbi yuko na mawazo huru toka siku nyingi.
Na ndio maana aliitwa Yuda hata kabla hajaongea ya juzi.
Mm pia ninaona kuna mvutano wa kweli.kupima mambo kutoka kila angle. Kuna mvutano wa kweli? Ni geresha tu? NB: kwa upande wangu nimeegemea zaidi kwenye nadharia ya mvutano wa kwel... kwani hata gazeti la African Intelligence liligusia kuwa kuna mvutano.
kwa kuwa Yuda amekuja kuomba msaada kupata nguvu ya Umma basi tuache maneno tumlinde,asijekupotea kama Polepole ndio tujilaumuEnzi zile Polepole akifanya hikihiki tuliambiwa mengi sana, wengine walisema maigizo,wengine walisema ni shujaa tuliyemsubiri muda mrefu lakini hatukumlinda, kwa kuwa Yuda amekuja kuomba msaada kupata nguvu ya Umma basi tuache maneno tumlinde,asijekupotea kama Polepole ndio tujilaumu hatukumlinda.
Hata Magufuli alikuwa na walinzi.Yuda ana walinzi.
Tujilinde na kuwalinda Watanzania wenzetu
Tatizo la Yuda ni yale macho yake.Hata Magufuli alikuwa na walinzi.