Hatujaoana lakn hapendi tutumie condoms

MR.LEO

Senior Member
Jun 10, 2012
129
24
Hi' wadau!
Nina mpz ambaye ana umri wa miaka 22 kabila lake ni mngoni.
Ni miaka mitatu toka tumejuana nae ila toka mwezi wa kwanza mwaka huu ameniambia kama siwezi kupiga gemu kavu kavu basi yupo tayari kuachana nae,na mimi bado nampenda hivyo nisaidieni na mimi richa kupima mara kwa mara naogopa sana kuteleza,kwenda bila hizo kinga.
Nifanyeje wadau?
 
mmh huyo ni doormate tu au you plan to make committment because sex nowadayz is easily available which cause true love hard to find .unajua wasichani mentality ya ujinga ni kufikiri kusex na mtu wako ndo upendo. men can sleep with 1000 women and love none of them .mpigie chini kwanza anajirahisi hivyo wewe huogopi kuambukizwa fangaz
 
mwenzangu hilo wala halitaki ushauri nikiasi cha kupima tuuu jee huyo mwanamke anastahili uhai wako? manake kama yeye anaweka maisha yake rahani je wewe uko tayari na hasa ukijijua kua damu yako safii kwa sasa?.
 
hapo lazima uoe ngoja tu utasikia anakwambia tayari anatema mate ovyo ovyo
 
i alwayz used to say it z very simple....mwambie akapime aje na cheti cha angaza then mnaliendeleza...bt vngnevyo no no no, dnt accept it.
 
sex bila ndoa ya muda mrefu,mwisho wa siku,unajichokea.ukiona hivyo,anapenda muende kwenye next step.sio kila siku kupeana uroda tu wa bure bure.either anataka kukutega kwa mimba,au na yeye anapenda a move on.ushauri ni wako,kusuka au kunyoa
 
Mmefanya miunzinzi yenu bila kumshrkisha m2 leo dem anataka dry ndo unaomba ushauri,uyo dem anataka kuhamia ghetto kabxaa atak mambo ya kujifcha fcha kwenye vigest
 
Miaka yote hiyo mna doo tu, hakuna next step.
Kama unampenda kapimeni, fungeni ndoa na mule tunda kwa amaaaani.
 
lazima uvune unachopanda haijalishi ni kwa muda gani! Kwani, "AZINIYE NA MWANAMKE HANA AKILI KABISA" yaani ni mpumbavu! "AFANYA JAMBO LA KUANGAMIZA NAFSI YAKE" ya anangamiza roho yake, mwili wake. nk, "Acheni uzinzi unaghalama kubwa"
 
mtu mwenye kujitambua na kujielewa,anajaji,anatathmini ,anafikiria na mwisho anachukua maamuzi magumu kwa future angalia kwa makini suala lako sababu your mature enough
 
Back
Top Bottom