Hatujaoana lakn hapendi tutumie condoms

Mbona kama ww pia unamyeyusha huyo demu,miaka3 yote ili iweje?ama unataka akukimbie make vidume wenye haja tupo wengi sana

Kapimeni mfanye mambo sie twataka ubwabwa ati.
 
Maisha yako ni muhimu sana.
Huyo mwanamke hajali kabisa?

Kwa haraka tu huyo ana taka mimba au atakubambika mimba hisiyo yako hivi karibuni
 
-sasa elia hujui kwamba kuoana kunahitaji kujipanga?

utajipanga mpaka lini... just consider vitu viwili age and income. sio lazima iwe kubwa sana tatizo la kuoa ni maamuzi. i tell you there are lots of good things in married couples that you ever immagine. kinachotakiwa ni kufanya ni kuchagua vizuri na kumuomba Mungu akupe sawasawa na wewe
 
Pole, kama ndivo atakavo na wampenda mpenzi wako na yeye anakupenda bac chukua huwamuzi wa kumuomba mkapime wote mjue afya zenu then muwe makini katika mambo mengine.
 
mmh huyo ni doormate tu au you plan to make committment because sex nowadayz is easily available which cause true love hard to find .unajua wasichani mentality ya ujinga ni kufikiri kusex na mtu wako ndo upendo. men can sleep with 1000 women and love none of them .mpigie chini kwanza anajirahisi hivyo wewe huogopi kuambukizwa fangaz[/QUOTE

Huyo analala na wanawake 1000 ni malaya tu wakiume..na wala sio sifa
 
Labda binti anahisi akipigwa dry inaleta maana kwake kuwa kweli ni wa kwako na anakumiliki pia anatega mimba maisha mapya yaanze!sio unamega kwa dhana no physical contact and deep feeling..ni mawazo yangu tu!!!!
 
kujipanga nini?wewe muoe!tatizo watu mnataka harusi za kifahari!,harusi ni wewe,mke,wasimamizi,wazazi,ndugu wa karibu,padri au sheikh,mbele ya mungu wenu,hayo mengine ni mbwembwe tu!
 
kama unampendamuoe tu, nadhani kaona huna muelekeo wa kutangaza ndoa. so kaona suluhisho ni kukutegeshea mimba. believe me, ukianza kavu kavu ni miezi 2 atakwambia tayari anayo. haijalishi ni yako ya ya mtu mwingine.

my best friend ilmtokea, akakubali kupima na kudo kavu kavu, kaletewa mimba na saiv anaishi nae. take care
 
Kaka pole sana mambo ya kawaida huwa yanatokea kwa ushauri wangu kama una wasi wasi naye nendeni mkapime wote baada ya hapo nadhan hutoogopa tena anakupenda ndo maana hataki ule ndizi kwenye ganda bro
 
Hi' wadau!
Nina mpz ambaye ana umri wa miaka 22 kabila lake ni mngoni.
Ni miaka mitatu toka tumejuana nae ila toka mwezi wa kwanza mwaka huu ameniambia kama siwezi kupiga gemu kavu kavu basi yupo tayari kuachana nae,na mimi bado nampenda hivyo nisaidieni na mimi richa kupima mara kwa mara naogopa sana kuteleza,kwenda bila hizo kinga.
Nifanyeje wadau?

Mtembea ovyo huyo, wenzio wanamla peku kesha tiwa mimba anakutega. Kaa chonjo raha ya muda mfupi isikuchukulie uhai
 
Hi' wadau!
Nina mpz ambaye ana umri wa miaka 22 kabila lake ni mngoni.
Ni miaka mitatu toka tumejuana nae ila toka mwezi wa kwanza mwaka huu ameniambia kama siwezi kupiga gemu kavu kavu basi yupo tayari kuachana nae,na mimi bado nampenda hivyo nisaidieni na mimi richa kupima mara kwa mara naogopa sana kuteleza,kwenda bila hizo kinga.
Nifanyeje wadau?

Kwani utakapoowa utamfunga Luku au utaendelea kutumia condoms. Bado hujamuamini hadi sasa? Owa au mpe kitu safi ajisikie!
 
Back
Top Bottom