Hatuhoji mamlaka za uteuzi lakini tuambiwe Kalemani alikosea nini pale Nishati?

Umeuliza swali zuri sana,unajua inashangaza sana from nowhere mtu unaondoa wakubwa wote wa tanesco ,
sector zingine ambazo ziko chini ya wizara ya nishati haziguswi, wakati nazo zinachangamoto nyingi. Na baada ya kuwaondoa hao viongozi ndipo vinapoanza vitimbwi na vihoja vya umeme. So iniaonesha wazi kuwa michongo watu wana draft.
 
Sema wewe na mumeo syo sisi.


Kwani kelemani yeye nani bana
 
Wewe Chawa tafuta kazi nyingine
 
Mbona hakubadilishwa wizara kama yule wa TAMISEM alivyobadilishwa wizara ?
 
Mmea wa Arusha katika ubora wake
 
maneno yako ya kikuda sana, we fikiria alisema atawaingilia tanesco, tpdc, ewura mmoja baada ya mwingine yaani wote wapange mstari then akiingiliwa huyu anafuata mwingine...
 
Mama alifanya hivyo maksudi kumtuliza KIGOGO 14. Na kwa 100% amefanikisha kumruliza. Lakini utendaji wa KIGOGO 14 ni 11.77%
 
Watendaji wa Idara yoyote wanatakiwa kuheshimu system sio mtu. Usemavyo inaonsha kalemani na hao watendaji walikuwa kuna jambo wanashirikiana na lilikuwa haribifu
 
Zingine huwa ni figisu na umbea wa wale ndugu tu, linachafuliwa fail lako Rais anajazwa maneno weeee ,unapigwa chini , nafikili huyu Bwana alikua serious kidogo , nishati sio wizara lelemama,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…