Hatuhoji mamlaka za uteuzi lakini tuambiwe Kalemani alikosea nini pale Nishati?

Alikuwa mwizi, aliwekwa pale kupiga dili za Jiwe!! Lakini vile vile hana uelewa wa kutosha kuendesha mradi wenye thamani ya tril 60 wa gas, wazungu wangekuwa wanampiga matobo kila siku na ushamba wake
Kalemani ni muadilifu kuliko huyo mpiga dili wa bumbuli
 
Mheshimiwa Rais Samia tunaomba utujuze hata kiasi hivi Kalemani alikosea nini pale nishati?

Ukweli ni kwamba wananchi wengi hawajakuelewa kwa dhati kuhusu ufukuzwaji wa yule jamaa pale nishati.

Ifahamike Kalemani pamoja na mapungufu yake lakini watendaji pale Tanesco alikuwa anawamudu kabisa na walikuwa wanamheshimu sana.

Sisi hatuhoji mamlaka yako uliyopewa na katiba bali tunataka tufahamu tu huyo mtu alikosea nini ili historia ipate kumhukumu huko mbele km ambavyo wewe usipotutonya makosa yake itakavyokuja kukuhukumu huko mbele.

Kwani ile audit report ya CAG iliyoacha kutangazwa March ile hazikumtaja kwenye lile genge lililokuwa limekwapua pesa BOT?
 
Mheshimiwa Rais Samia tunaomba utujuze hata kiasi hivi Kalemani alikosea nini pale nishati?

Ukweli ni kwamba wananchi wengi hawajakuelewa kwa dhati kuhusu ufukuzwaji wa yule jamaa pale nishati.

Ifahamike Kalemani pamoja na mapungufu yake lakini watendaji pale Tanesco alikuwa anawamudu kabisa na walikuwa wanamheshimu sana.

Sisi hatuhoji mamlaka yako uliyopewa na katiba bali tunataka tufahamu tu huyo mtu alikosea nini ili historia ipate kumhukumu huko mbele km ambavyo wewe usipotutonya makosa yake itakavyokuja kukuhukumu huko mbele.
Mpuuz wew, kwani huyo msukuma mwenzio kazaliwa awe waziri tu?!

Halafu nyie majinga mnataka mumpelekeshe Rais, mbona dikteta alikuwa anatimua watu kwa chuki kila siku mlikuwa mnabinua makalio kufurahia
 
Inafikirisha sana.
Aliyewekwa sasa yumo kwenye mtandao wa aliyeshika "remote" ya kumwendesha mama kwa faida yake. Kumbuka ni mtandao wa mtu huyo huyo uliopiga "Richmond, IPTL, Dowans" n.k. Muda utaongea. Madili yatakayopigwa siku zijazo ni ya kufa mtu. Watz tutakoma. Kilangila.
 
Mheshimiwa Rais Samia tunaomba utujuze hata kiasi hivi Kalemani alikosea nini pale nishati?

Ukweli ni kwamba wananchi wengi hawajakuelewa kwa dhati kuhusu ufukuzwaji wa yule jamaa pale nishati.

Ifahamike Kalemani pamoja na mapungufu yake lakini watendaji pale Tanesco alikuwa anawamudu kabisa na walikuwa wanamheshimu sana.

Sisi hatuhoji mamlaka yako uliyopewa na katiba bali tunataka tufahamu tu huyo mtu alikosea nini ili historia ipate kumhukumu huko mbele km ambavyo wewe usipotutonya makosa yake itakavyokuja kukuhukumu huko mbele.
Ni mshamba, hana exposure yoyote ya chochote. Hakuwa na maarifa yoyote ya kusimamia mashirika yanayotakiwa kufanya kazi kwa standard ya Dunia kama ilivyo Tanesco. The same to Biteko. Wote ni wanazengo, exposure yao mwisho Nyarugusu!
Au nasema uwongo ndugu zangu?! Msema kweli ni mpenzi Wa Mungu.
 
Kuna kipengele gani cha Katiba kinamshurutisha RAIS aseme ni kwanini ANAMTEUA/KUMTENGUA FULANI?!!!!

Mbona ulikuwa huhoji teuzi na tenguzi zilizofanywa na AWAMU YA 5?!!!

UNAFIKI HAUWASAIDII NINYI WATU
Sukuma Gang hilo achananalo, limetumwa na Kaleeemani,

Na ndio wanazidi kumuharibia huyo mshamba mwenzao
 
Ni Sukuma Gang Yulee Mkuu

Mimi pia nis Sukuma Gang

Mzalendo wa Kweli Nchi hii JPM

RIP

Nitaenda kuitembelea Familia ya mkuu huyu

Nawaombea Mungu awape Rehema

Amen
Unaacha kuwaombea wazee wako wale vipofu waone,eti unamuombea dikteta
 
Nendeni mkamuabudu mungu wenu kule makaburi ya Chato hakuna Rais yeyote aliyewahi kuulizwa hivi hivyo acheni dharau zenu kwa Rais Samia.
 
Siku zote Magufuli alieleza sababu ya kutumbua alipokuwa akiapisha na ilikuwa desturi yake kuondoa minongono ,na ndio maana hapakuwepo questions, fuatilia clip zake
Kama katiba haimtaki Rais atoe maelezo hayo basi sio lazima kwa yeye kumuiga mtangulizi wake maana wanapishana haiba, sijawahi kumsikia Mama akizungumza habari za mavi au nayo aige?
 
Kwani ajira ni nini basi kama uwaziri siyo ajira?
Unaweza teuliwa leo na kesho ukatenguliwa bila kosa wala kesi wala maelezo; ni jinsi tu mamlaka inavyojisikiliza siku hizo. Hiyo nayo ajira?
 
Watu wanaangalia malipo na marupurupu unayopatiwa kama mlipo yako.
 
Mheshimiwa Rais Samia tunaomba utujuze hata kiasi hivi Kalemani alikosea nini pale nishati?

Ukweli ni kwamba wananchi wengi hawajakuelewa kwa dhati kuhusu ufukuzwaji wa yule jamaa pale nishati.

Ifahamike Kalemani pamoja na mapungufu yake lakini watendaji pale Tanesco alikuwa anawamudu kabisa na walikuwa wanamheshimu sana.

Sisi hatuhoji mamlaka yako uliyopewa na katiba bali tunataka tufahamu tu huyo mtu alikosea nini ili historia ipate kumhukumu huko mbele km ambavyo wewe usipotutonya makosa yake itakavyokuja kukuhukumu huko mbele.
Kalemani ni nani kwenye nchi yenye takribani watu 70milion,Hivi wakati ule nape anatumbuliwa Kihuni na mwenda zake mliona sawa au kwasababu nape sio mchunga ng'ombe?
Wizara ya nishati Kalemani aliikuta na ameiacha,January naye vilevile ataiacha,
Acheni usukuma nyie watu.
Walikuepo kina muhongo nao pia wameiacha, huyu Kalemani anakipi special mpaka aonekane kwamba bila yeye wazara ya nishati haiendi?
 
Back
Top Bottom