Kuna vitu vinaumiza sana, kuna muda niliwaza hivi wanaojiita wataalamu ( waganga wa kienyeji) hawawezi kufanya namna kwa zile damu kwamba kila aliyeshiriki kwa kutoa amri ya kuua ama kushika bunduki nao wafe wote.Kwakweli, I think hawajaguswa
Hakuna kitu kinaniuma waliopoteza uhai kwa kufuatwa ndani,au katoka dukani,kazini, mbaya zaidi watt wa kiume tu
Kila nikiwaza sipati jibu
Maombi nayoomba Mungu anisamehe
Hiyo imeniliza sanaKuna video waliwapa mpaka traffic wakaanza kupiga watu risasi majumbani kwao
Kwa kanuni za tume,unatoa report kadri ya matakwa ya aliyekutuma,si unakumbuka tume ya madini,tume zote ndo utaratibu ulivyoMuuaji ndo anaunda tume unaunda tume ya nini wakati Wewe ndo utakiwi Tume ni ulaji wa watu
Yakuwapi sasa,umuhimu wa kupata elimu umejionesha wazi,Form four failure kafeli vibaya sana,sio tu yeye kafelisha mpaka taifa kwa ujumlaICC haendi na tume ataunda
Huyu kashaelekea kibra. Ni mteja mtarajiwa wa ICCBaada ya kukosa njia au namna ya kutokea, leo eti ndo anatoa pole kwa waliopoteza maisha yao!
Hiyo si pole ya dhati.
Kaitoa kwa sababu kaona hakuna namna. Ushahidi wa mauaji yake ni mwingi mno.
Wamejaribu kila aina ya spin, imeshindikana.
Walianza na kuwalaumu waandamanaji.
Wakaja na habari za AI, ikagoma.
Wamejaribu kukaa kimya wakiombea Watanzania watasahau, imeshindikana.
Vyombo vya habari vya ndani navyo vimejaribu kumkingia kifua kwa kutokuripoti hayo mauaji, imegonga mwamba.
Vyombo vya habari vya kimataifa kwa kusema ukweli havijaitupa Tanzania.
BBC, DW, First Post, na wengineo, wameendelea kuripoti kuhusu mauaji aliyoyafanya.
Kwenye jumuiya ya kimataifa, wanamcheka kwa dharau.
Watu wote tumeona hakuna watu milioni 32 waliojitokeza kupiga kura.
Sasa eti anakuja na mambo ya pole, sijui tume ya kuchunguza mauaji, sijui maridhiano nini nini….
Mimi nasema hivi…..hatuutaki huo ujinga wako.
Kuua uue wewe halafu wewe huyo huyo ndo uunde tume ya kuchunguza hayo mauaji yako?
Hivi unatuonaje we bibi?
Hayo ndo yaleyale ya tume ya uchaguzi. Unaiunda mwenyewe halafu unakuja kushiriki uchaguzi ambao hiyo tume inauendesha.
Tumeona matokeo yake.
Safari hii imekula kwako. Pole yako baki nayo mwenyewe.
Tume yako baki nayo mwenyewe.
Kwa sasa jiandae tu na kwenda kujibu mashitaka kule ICC.
Baada ya kukosa njia au namna ya kutokea, leo eti ndo anatoa pole kwa waliopoteza maisha yao!

Hao ndo wako kuufanikisha huo mfumo km hujuiKuna vitu vinaumiza sana, kuna muda niliwaza hivi wanaojiita wataalamu ( waganga wa kienyeji) hawawezi kufanya namna kwa zile damu kwamba kila aliyeshiriki kwa kutoa amri ya kuua ama kushika bunduki nao wafe wote.
Chura kiziwi anaishi kwa mazoea na dharau.Baada ya kukosa njia au namna ya kutokea, leo eti ndo anatoa pole kwa waliopoteza maisha yao!
Hiyo si pole ya dhati.
Kaitoa kwa sababu kaona hakuna namna. Ushahidi wa mauaji yake ni mwingi mno.
Wamejaribu kila aina ya spin, imeshindikana.
Walianza na kuwalaumu waandamanaji.
Wakaja na habari za AI, ikagoma.
Wamejaribu kukaa kimya wakiombea Watanzania watasahau, imeshindikana.
Vyombo vya habari vya ndani navyo vimejaribu kumkingia kifua kwa kutokuripoti hayo mauaji, imegonga mwamba.
Vyombo vya habari vya kimataifa kwa kusema ukweli havijaitupa Tanzania.
BBC, DW, First Post, na wengineo, wameendelea kuripoti kuhusu mauaji aliyoyafanya.
Kwenye jumuiya ya kimataifa, wanamcheka kwa dharau.
Watu wote tumeona hakuna watu milioni 32 waliojitokeza kupiga kura.
Sasa eti anakuja na mambo ya pole, sijui tume ya kuchunguza mauaji, sijui maridhiano nini nini….
Mimi nasema hivi…..hatuutaki huo ujinga wako.
Kuua uue wewe halafu wewe huyo huyo ndo uunde tume ya kuchunguza hayo mauaji yako?
Hivi unatuonaje we bibi?
Hayo ndo yaleyale ya tume ya uchaguzi. Unaiunda mwenyewe halafu unakuja kushiriki uchaguzi ambao hiyo tume inauendesha.
Tumeona matokeo yake.
Safari hii imekula kwako. Pole yako baki nayo mwenyewe.
Tume yako baki nayo mwenyewe.
Kwa sasa jiandae tu na kwenda kujibu mashitaka kule ICC.
.Baada ya kukosa njia au namna ya kutokea, leo eti ndo anatoa pole kwa waliopoteza maisha yao!

Walikusudia kufanya hivyo,Mchengerwa alishatoa kauli kuwa hakuna kuoneana huruma,”Show no Mercy no anyone” “hakuna mtu alitoa amri kuwa waache Mara moja kupiga watu risasi,hakuna.Mpaka sasa hatujasikia mtu yoyote amekamatwa japo picha za wahusika zimezagaa mitandaoni.Wamekamata vijana kwa lengo la kutaka kubadilisha narrative kwa kufanya blame shifting,kitu ambacho kimeshindikana kwa sababu ya evidence,safari hii hawawezi kufanya spin kujitoa,Watanzania wameshajua jinsi ya kukabiliana nao..Umezungumza kitu ambacho wengi kimetushangaza
Juzi tulikua na watu fulani tumekaa tukawa tunajiuliza wale watu hawakua na akili? Sababu binadamu mwenye akili hawezi kushoot risasi kila anachokiona mbele yake. Wanaingia kibanda umiza wanakuta Watoto wanaangalia mpira, wanawalaza chini na kuwapiga risasi kisogoni wote, Hakuna hata mmpja wa kushtua wenzie kuwa hii acheni?
Liberation Day, D9Kwa sasa watanganyika wameamka akiibuka chawa wanamshona vilivyo hadi anarudi mafichoni.
Kibibi hadi sasa kimefunga comments katika account zake zote za mitandao ya kijamii .
Limebaki zoezi moja tu la watu waweze kususia huduma na viburidisho vingine vya madhalimu na wanoiunga mkono serikali batili ambayo haikutokana na wananchi hiyo ikifanikiwa watashika adabu vizuri zaidi.
Wananchi wakianza kususia usafiri wa mafisadi, kuweka mafuta katika filling stations za mafisadi, kucancel subscription za media za kitanzania, uanachama wa Simba na Yanga, kugomea kwenda viwanjani mechi za Simba na Yanga hii itawaamsha na movement itakua imekaa vyema.
Samuya 😭😭😭😭😭😭uyu ata kusikia sauti yake nachefukwa
Hawezi mualika na hajawahi mualikaUna official document from white house
Mimi yule dogo mwanafunzi aliepigwa risasi kila nikukumbuka hio video nakosa raha kbsKwa mauaji yaliyotokea nimekuwa nikimuombea mabaya Mungu anisamehe, ila siwezi hata kumsikiliza nahisi kichefuchefu
Bado unasikilizaga radio 📻Mimi nikisikia habari zake redioni fasta naizima.