ICC haendi na tume ataundaBaada ya kukosa njia au namna ya kutokea, leo eti ndo anatoa pole kwa waliopoteza maisha yao!
Hiyo si pole ya dhati.
Kaitoa kwa sababu kaona hakuna namna. Ushahidi wa mauaji yake ni mwingi mno.
Wamejaribu kila aina ya spin, imeshindikana.
Walianza na kuwalaumu waandamanaji.
Wakaja na habari za AI, ikagoma.
Wamejaribu kukaa kimya wakiombea Watanzania watasahau, imeshindikana.
Vyombo vya habari vya ndani navyo vimejaribu kumkingia kifua kwa kutokuripoti hayo mauaji, imegonga mwamba.
Vyombo vya habari vya kimataifa kwa kusema ukweli havijaitupa Tanzania.
BBC, DW, First Post, na wengineo, wameendelea kuripoti kuhusu mauaji aliyoyafanya.
Kwenye jumuiya ya kimataifa, wanamcheka kwa dharau.
Watu wote tumeona hakuna watu milioni 32 waliojitokeza kupiga kura.
Sasa eti anakuja na mambo ya pole, sijui tume ya kuchunguza mauaji, sijui maridhiano nini nini….
Mimi nasema hivi…..hatuutaki huo ujinga wako.
Kuua uue wewe halafu wewe huyo huyo ndo uunde tume ya kuchunguza hayo mauaji yako?
Hivi unatuonaje we bibi?
Hayo ndo yaleyale ya tume ya uchaguzi. Unaiunda mwenyewe halafu unakuja kushiriki uchaguzi ambao hiyo tume inauendesha.
Tumeona matokeo yake.
Safari hii imekula kwako. Pole yako baki nayo mwenyewe.
Tume yako baki nayo mwenyewe.
Kwa sasa jiandae tu na kwenda kujibu mashitaka kule ICC.
Baada ya kukosa njia au namna ya kutokea, leo eti ndo anatoa pole kwa waliopoteza maisha yao!

I still do not understand why they were shooting indiscriminately... Kile kiwango cha kutokujali hutegemei kitoke kwenye trained officers.... Ni kama walipata wazimuHalafu si alisema ni raia wa kigeni….
The woman is just dumb.
Mimi sitaki kuona sura yake wala kusikia sauti yake.
Namchukia sana.
Look at this….
View attachment 3501886
Kaua watoto huyo mtu. Hakuna kiasi cha pole kitakachonifanya nimsamehe.
She’s completely brainless!Halafu si alisema ni raia wa kigeni….
The woman is just dumb.
Kwakweli, I think hawajaguswaWanaomsikiliza wana moyo sana
Sijaona popote alipotaja idadi ya waliouawa.So sad.Ka acknowledge baada ya wiki mbili!
Baada ya kuona hakuna namna.
So insincere.
Hayo si maombi yako pekee,wengi tunayaomba na Mungu atuskieKwakweli, I think hawajaguswa
Hakuna kitu kinaniuma waliopoteza uhai kwa kufuatwa ndani,au katoka dukani,kazini, mbaya zaidi watt wa kiume tu
Kila nikiwaza sipati jibu
Maombi nayoomba Mungu anisamehe
Kwa sasa watanganyika wameamka akiibuka chawa wanamshona vilivyo hadi anarudi mafichoni.Sasa kafungua bomba la pole kwa wafiwa na ajeruhi wa maandamano, utayasikia machawa yote yakimimina pole pamoja na vyombo vya habari ya Tanzania. Nyie subirini tu mtaona na kusikia wenyewe.
Wakiamua hotuba ijayo wanakana,halafu inayofuata wanakiri,kanakuwa kaseries flani hiviAt least wame acknowledge kulikuwepo mauaji. Ni hatua muhimu. Viongozi wa TZ walianza katabia cha kukana vitu ambavyo vipo dhahiri. Ngoja tuone yajayo.
Mpk ss bado sielewi labda hawakuwa wanadamu wa kawaidaI still do not understand why they were shooting indiscriminately... Kile kiwango cha kutokujali hutegemei kitoke kwenye trained officers.... Ni kama walipata wazimu
Tena wa Chuma cha kutuWanaomsikiliza wana moyo sana
Halafu walikuwa wantumia high caliber bullets.I still do not understand why they were shooting indiscriminately... Kile kiwango cha kutokujali hutegemei kitoke kwenye trained officers.... Ni kama walipata wazimu