Hatudanganyiki kwa sera za mipasho

Hatudanganyiki kwa sera za mipasho

rafiki2010

Member
Joined
Sep 23, 2010
Posts
23
Reaction score
0
Nawezekana vipi kuunda katiba mpya , kufuatilia migogoro ya ardhi ndani ya siku mia hayo ni machache 2 ila kuna mengine mengi tunaahidiwa kufanyika ndani ya siku mia (100) kweli yote yanawezekana au ndio njia ya kuingia ikulu,,,,,,,, punguzeni vurugu jaribuni tena 2015,,
 
Kuunda katiba ni mchakato. Kwa sasa CCM hawana hata habari au sababu za kuunda katiba mpya. Slaa atakapoingia madarakani within the first 100 days atakuwa ameanzisha mchakato wa katiba mpya. Kila kitu kinawezekana ukiwa na nia.
 
Haiwezekani kwa mafisadi, wapenda matanuzi, kwa wachapakazi kama DR Slaa, this is very possible.
 
Nawezekana vipi kuunda katiba mpya , kufuatilia migogoro ya ardhi ndani ya siku mia hayo ni machache 2 ila kuna mengine mengi tunaahidiwa kufanyika ndani ya siku mia (100) kweli yote yanawezekana au ndio njia ya kuingia ikulu,,,,,,,, punguzeni vurugu jaribuni tena 2015,,
Nani kakudanganya kuwa haiwezekani? Mafisadi ndio wanawapumbaza kuwa hakuna kinachowezekana, kwa taarifa yako hayo uliyoyaorodhesha hapo juu yanawezekana, na sio ndani ya siku 100, hata mwezi mmoja kitu ni nia tu. Inawezekana.
 
ama kweli tamu ya ufisadi imempofusha macho Mtanzania mwenzetu, akisema JK atajenga Train la umeme toka Dar ni ahadi ya kweli, wakati miaka 5 , train imefanya kazi chini ya miaka 3, haya ni mawazo ya watu muflisi, Umetumwa na Makamba ama Tambwe Hiza.
 
hii yote inawezekana ila kwa kuwa umetumwa kukamilisha utafiti wako fake ndo unaona haiwezekani! ama kweli usimshike mkono kipofu!
 
ila kwa miaka mitano kufanya yafuatayo inawezekana
  1. international airports bagamoyo na kigoma
  2. bandari ya kisasa bagamoyo na kigoma
  3. meli kubwa za abiria za kisasa L. Victoria na L. Nyasa
  4. kuajiri walimu wanne wa sayansi katika kila sekondari zooooote nchini
  5. kuunganisha internet connectivity katika shule zoooote za sekondari za serikali nchini (inasemekana 48% hazina umeme)
  6. kigoma kuwa dubai na mwanza kuwa amsterdam
  7. treni ya umeme na fly-overs 'jijini' dar
  8. ??????
  9. ?????
  10. ?????
  11. ??????
  12. ??????
  13. ?????
amka usingizini ewe mtanzania!!!!
 
Tanga kwetu uchambuzi wako mzuri ila andika kwa Five years bila kupunguza ufisadi haiwezekani.
 
ila kwa miaka mitano kufanya yafuatayo inawezekana
  1. international airports bagamoyo na kigoma
  2. bandari ya kisasa bagamoyo na kigoma
  3. meli kubwa za abiria za kisasa L. Victoria na L. Nyasa
  4. kuajiri walimu wanne wa sayansi katika kila sekondari zooooote nchini
  5. kuunganisha internet connectivity katika shule zoooote za sekondari za serikali nchini (inasemekana 48% hazina umeme)
  6. kigoma kuwa dubai na mwanza kuwa amsterdam
  7. treni ya umeme na fly-overs 'jijini' dar
  8. ??????
  9. ?????
  10. ?????
  11. ??????
  12. ??????
  13. ?????
amka usingizini ewe mtanzania!!!!

Mwenye macho haabiwi tazama, ahadi za maneno matamu,lakini ukijumlisha ahadi zote na zinazoiburiwa kila kukicha na zile ambazo hazikutekelezwa huko nyuma,utagundua kuwa kuna walakini mkubwa .Sio kwamba haiwezekani inawezekana lakini mipangilio ,mapato, utashi havionekani mezani.
 
maralia sugu,
nakukubali sana kwa ma-aidii mengi,lakini kuna kitu hujakinote kwamba kwanini watu wanakushtukia kuwa wewe ni the same guy.....!ni huo uandishi wako.

lakini mi sioni sababu ya kuwa na ma-aidii mengi
 
Nawezekana vipi kuunda katiba mpya , kufuatilia migogoro ya ardhi ndani ya siku mia hayo ni machache 2 ila kuna mengine mengi tunaahidiwa kufanyika ndani ya siku mia (100) kweli yote yanawezekana au ndio njia ya kuingia ikulu,,,,,,,, punguzeni vurugu jaribuni tena 2015,,

Leo naona umeamua kutoka kwa style ya ki Typhoid Typhoid- Vp Malaria ipo pending ama? Hongera Mkuu kazi unayo hadi 31st Oct ID zitafika mia kidogo.
 
sii vyema kuwa na madhanio ,,, haiwezekaniki kuunda katiba kwa siku100 jambo ambalo angalau linalowezekana ni kurekebisha katiba na si luunda katiba mpya

na hilo suala la migogoro ya ardhi kumalizika ndani ya siku 100 ndio kabisaa tusahau kwa haiwezekani hata kidogo
 
kweli nimeamini HATAMU IKISHIKWA PUNDA SHARTI LAZIMA AENDE ,,,, mnadanganyi kwa maneno ivi hamji ulizi kuwa hao mnaowapigania ni mafisadi zaidi jinsi mnavyofikiri ki ukweli CHADEMA si chama cha wananchi ni cha kwa ajili ya mataba ya makabila ya watu fulani ,, ni jambo la wazi kuwa hata majina ya wabumbe wao wa viti maalum waliowapendekeza wamu hii ni watu kutoka kaskazini ya moshi na arusha ila uchaguzi uliofanyika ndani ya chama umewatengua na kuwapakipaumbele watu wanao wahitaji kikubwa ch akuduwza kama sio kkushangaza mpaka sasa hawajawatangaza watu viongozi waliochaguliwa na wanachama wao hii inaonyesha wazi kuwa matokeo wameyabatilisha na kuna watu wao wanaowahitaji kushika nyazifa hiii sii democrasia ya kweli ndani ya chama kidogo kama chadema je swali ni kwamba wataweza vipi kuongoza nchi kubwa kama tanzania yenye kuhitaji umakini wa kutosha ilikufanikisha malendeleo ya watanzania
 
Nawezekana vipi kuunda katiba mpya , kufuatilia migogoro ya ardhi ndani ya siku mia hayo ni machache 2 ila kuna mengine mengi tunaahidiwa kufanyika ndani ya siku mia (100) kweli yote yanawezekana au ndio njia ya kuingia ikulu,,,,,,,, punguzeni vurugu jaribuni tena 2015,,

jamani msiwe na akili finyu,ndani ya siku miamoja yawezekana kwani yapo mambo yanaitaji kauli na utashi wa kisiasa,mbona DK Slaa alipoenda mtibwa na akatangaza tatizo la mtibwa litaisha ndani ya siku miamoja iwapo atapata ridhaa na Jk alivyosikia hayo akaenda na kutatua tatizo hilo ndani ya siku tatu siku zote alikuwa wapi,ni mambo mengi ya serikali yetu yanaitaji uadilifu na kauli ya utashi wa kisiasa.

safari hii mtatapatapa kweli nimeamini maneno ya Dk serikali yetu imefikia mwisho wa kufikiri ndiyo maana inaona mambo hayawezekani,
 
Nawezekana vipi kuunda katiba mpya , kufuatilia migogoro ya ardhi ndani ya siku mia hayo ni machache 2 ila kuna mengine mengi tunaahidiwa kufanyika ndani ya siku mia (100) kweli yote yanawezekana au ndio njia ya kuingia ikulu,,,,,,,, punguzeni vurugu jaribuni tena 2015,,

katiba haitabadilishwa ndani ya siku mia moja ila mchakato wake nautaanzaa ndaani ya siku mia moja yakiwa ni maandalizi ya kukusanya maoni,muwe na masikio mazuri.
 
Nawezekana vipi kuunda katiba mpya , kufuatilia migogoro ya ardhi ndani ya siku mia hayo ni machache 2 ila kuna mengine mengi tunaahidiwa kufanyika ndani ya siku mia (100) kweli yote yanawezekana au ndio njia ya kuingia ikulu,,,,,,,, punguzeni vurugu jaribuni tena 2015,,

Unajua CCM wamezowea kufanya mambo kilegelege kiasi kuwa jambo la siku moja waoa wanalifanya kwa mwaka mzima, ndiyo maana ni wagumu wa kuelewa kuwa mambo haya yanaweza kufanyika ndani ya siku mia moja. Kikwete alitumia miaka miwili kujifunza kazi yake aliyoomba wakati alitwakiwa kuingia Ikulu na kuanza kazi mara moja. Kwa hiyo wafuasi wa Kikwete nao wanadhani kuwa Slaa naye atahitaji miaka miwili ya kujifunza.
 
kila siku mnazungumza mafisadi hamna kitu kingine? mbona kila mtu ni fisadi kwa nafasi yake! tena katika mafisadi chadema ni namba moja wanawadanganya wanachama wake kuwa chama ni masikini na hali wao viongozi wakubwa wanatembea kwa magari ya kifahali na helkopta vijijini ata usafili wa gari kwa ajili ya kampeni wahana wanatembea kwa miguu ama kweli aliyelala usimuamshe:A S 13:
 
kila siku mnazungumza mafisadi hamna kitu kingine? mbona kila mtu ni fisadi kwa nafasi yake!:A S 13:

Serikali ya ccm imehalalisha ufisadi kiasi kwamba hata watu kama wewe wanaona ufisadi ni jambo la kawaida!!
Kwa taarifa yako wapo mamilioni ya watanzania wanaoishi kwa jasho lao halali ... hawategemei wizi na udokozi mliouzoea na kuuhalalisha!
 
Back
Top Bottom