huyu jama kamaliza kila kitu nadhani mtoa mada umelewa✓Hudhuria vipindi..Fanya assigment
✓Tenga muda wa kujisomea kila siku..go extra miles kwenye kila kitu
✓Acha kuiga maisha ya watu,ishi simple tu..
✓Tumia hela vizuri maana ukikosa hela hata shule haiwezi kupanda..
✓Usisome tu handouts,download vitabu vya kozi husika na uwe unavisoma..
✓Kikubwa cha msingi lakini ni kupata maarifa thabiti yatakayoweza kukusaidia kubadilisha maisha yako na jamii inayokuzunguka..na sio kupambana tu na njia za kukwepa sup au kufaulu vizuri..maana unaweza kufaulu vizuri hata kwa kufanya cheating
Asante ndg ushauri wako naenda naoNakumbuka UE flan nilipata karai kama 2 hv..nikasema karai mwisho..siri ni hz...usikose lecture(kumbuka mambo ni mengi unaweza usipite sehem zote ila kama ulikuwepo kwenye lecture chance ya kukumbuka ni kubwa kama hukupigia hyo topic kwa muda mrefu)...hakikisha kila siku una fanya discussions hata saamoja(discussion inaweza kusaidia kusoma topic mbili hata3 kwa muda mfupi)...usilalze kiporo kama mpo class na iktokea kipindi kimevunjika kwa sababu zozote basi vuta ktabu piga topic yako au rudia topic za jana kwa ufupi(peruzi)...cha mwisho kwangu mimi nilikua napenda kusoma kwa past paper hasa nikiwa mwenyewe ntasoma vtu vingi kwa wkt mmoja hasa ikiwa karibia na CAT au UE..baada ya kufanya hayo karai lilipita hv
✓Hudhuria vipindi..Fanya assigment
✓Tenga muda wa kujisomea kila siku..go extra miles kwenye kila kitu
✓Acha kuiga maisha ya watu,ishi simple tu..
✓Tumia hela vizuri maana ukikosa hela hata shule haiwezi kupanda..
✓Usisome tu handouts,download vitabu vya kozi husika na uwe unavisoma..
✓Kikubwa cha msingi lakini ni kupata maarifa thabiti yatakayoweza kukusaidia kubadilisha maisha yako na jamii inayokuzunguka..na sio kupambana tu na njia za kukwepa sup au kufaulu vizuri..maana unaweza kufaulu vizuri hata kwa kufanya cheating
Umemaliza mkuu,wasipoelewa hili watakuwa na shida zao tu✓Hudhuria vipindi..Fanya assigment
✓Tenga muda wa kujisomea kila siku..go extra miles kwenye kila kitu
✓Acha kuiga maisha ya watu,ishi simple tu..
✓Tumia hela vizuri maana ukikosa hela hata shule haiwezi kupanda..
✓Usisome tu handouts,download vitabu vya kozi husika na uwe unavisoma..
✓Kikubwa cha msingi lakini ni kupata maarifa thabiti yatakayoweza kukusaidia kubadilisha maisha yako na jamii inayokuzunguka..na sio kupambana tu na njia za kukwepa sup au kufaulu vizuri..maana unaweza kufaulu vizuri hata kwa kufanya cheating
Wapo wanaomaliza chuo bila supNyie wote mnaongea tu sup huwa zinakuja tu
Hakunaga mtu anaependa kufeli bana
Unakuta somo kwako limekuwa gumu hulielewi
Hapo unakuta mwalimu nae ni chenga
Sup lazima upige tu,
Ilo nakubali 100%Wapo wanaomaliza chuo bila sup
Ilo nakubali 100%
but nasema kwa upande mwingne sup hakuna anaependa kupata mkuu huwa zinakuja by default tuu unajikuta kitu kimoo tayari
Mkuu sup zikikuandama mpaka mwisho wa siku na zenyewe unaanza kuzizoea japo zikizidi 3 ni mwanzo wa stressSikupingi. Sijawahi kukosa supp chuo.. kila nikikomaa kitu imo.
Mkuu sup zikikuandama mpaka mwisho wa siku na zenyewe unaanza kuzizoea japo zikizidi 3 ni mwanzo wa stress