Hatua za Kumuondoa CAG madarakani kwa mujibu wa ibara 144 ya Katiba

Kwaheri CAG. Ni bora ukajiondoa mwenyewe kabla ya hatua. Maana zikichukuliwa hatua na kuliingizia ghalama taifa. Taarifa zako tunazo, na wale wanakupa kiburi tunawajua. So ujiandae kunyea debe. Huna immunity.
 
Watu wa Chadomo wanamtetea CAG aliyekosa adabu. Huwezi kusema bunge dhaifu wakati hukagui bunge. Kwahiyo alitaka bunge limwambie nini rais ambaye yeye ndo muhusika na wasaidizi wake aliyekaguliwa?.
Kwamba rais ameshindwa kuwasimamia wasaidizi wake au?

Kwamba Magufuli awajibike kashindwa kazi au? Alitaka nini kifanyike?
a very poor arguement
 
Kwaheri CAG. Ni bora ukajiondoa mwenyewe kabla ya hatua. Maana zikichukuliwa hatua na kuliingizia ghalama taifa. Taarifa zako tunazo, na wale wanakupa kiburi tunawajua. So ujiandae kunyea debe. Huna immunity.
Madikteta nyie mnapuuza katiba, mnaua systems za checks and balances.

Kwa hili si rahisi, na Dunia nzima inaangalia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna cha loose ends hapo mkuu. Rais akitaka kumwondoa is not a big deal.... waliosema Serikali ina mkono mrefu walimaanisha mkuu!!
Rais pamoja na kuwa Amiri Jeshi, Kiongozi wa Serikali Vilevile ni Mkuu wa nchi( Head of State). Vijitu visivyojua vinamkuza CAG wakati ni mdoooogo sana tena hasimamii muhimili wowote ni mwajiliwa wa Serikali na akula kiapo cha utumishi wa umma.
 
Ndugai anadhani CAG anaweza kusimaishwa kazi kama anavyowanyanyasa kina Lema!!

Sent using Jamii Forums mobile app
CAG anaweza simamishwa kama mtumishi mwingine yoyote wa umma msitake kumkuza sana. Someni pia sheria iliyoanzisha ofisi ya CAG pia sheria ya Utumishi wa Umma. Musiishie kwenye Katiba pekee ndiyo maana Katiba imezitambua sheria zingine zilizotungwa na Bunge!
 
Subiri CAG anyee debe ndipo utakapojua. Huwezi ukayumbisha system mtu mmoja tu. Wakati tunajua huwa unavujisha siri za serikali.
kuvujisha siri za serikali za kuiba T 1.5 hahahahaaa,polisi kuagiza sare hewa kwa M.600 ATCL kujiendesha kwa hasara,serikali kukiuka mchakati wa manunuzi hahahahahaaa SIRI ZA SERIKALI....nyie panya wa Lumumba uwezo wenu wa kuchanganua mambo ni mdogo sana
 
Madikteta nyie mnapuuza katiba, mnaua systems za checks and balances.

Kwa hili si rahisi, na Dunia nzima inaangalia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ficha upumbavu wako. Katiba haisomwi kwa kutumia kifungu kimoja na kufanya conclusion. Ndani ya katiba kuna Right na Responsibility.
CAG yupo na wajibu wa kuenenda sawa sawa na miiko ya utumishi wa umma.
Usibwatuke tu. Soma ibara zinazohusu utumishi wa umma na utawala bora. Utajicheka mwenyewe.
 
Huna lolote. Mm sio CAG.. lakin hayo matisho ya kitoto sana. Eti tuna taarifa zako bwahahahahaha? To hell man.
Mtu akisema ukweli anaonekana adui.
Kwa taarifa yako CAG mpaka sasa hajatoka hapo sababu rais mwenyewe anamuelewa. Otherwise angemtumbua huko aliko.
Kwaheri CAG. Ni bora ukajiondoa mwenyewe kabla ya hatua. Maana zikichukuliwa hatua na kuliingizia ghalama taifa. Taarifa zako tunazo, na wale wanakupa kiburi tunawajua. So ujiandae kunyea debe. Huna immunity.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CAG anaweza simamishwa kama mtumishi mwingine yoyote wa umma msitake kumkuza sana. Someni pia sheria iliyoanzisha ofisi ya CAG pia sheria ya Utumishi wa Umma. Musiishie kwenye Katiba pekee ndiyo maana Katiba imezitambua sheria zingine zilizotungwa na Bunge!
Ofisi ya CAG imeanzishwa na Ibara ya 143 ya katiba.

Hakuna sheria yoyote inayoweza kutungwa ikatofautiana na katiba! Katiba kwanza, ufafanuzi wa katiba usipotosha ndipo sheria nyingine zinafuata.

Mkumbuke Rais na watendaji wake wote wameapa kufuata katiba.

Mnazidi kujiaibisha. Mnaipeleka nchi pabaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unaongelea mambo ya kisheria ambayo huyajui hata kidogo.

Hapa kuna kosa gani la jinai la kumpeleka mtu jela?

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani wewe niweupe sana. Ndio maana huwezi kumwona mwanasheria akibishania jambo hili. Wamekaa kimya tu.
Katiba haisomwi kwa kuangalia ibara moja. Katiba inatoa haki na wajibu. Kama hutimizi wajibu na matakwa ya utumishi wa umma utashughulikiwa tu kwa mujibu wa sheria.
 
CAG yuko kikatiba. Anawajibishwa na katiba. Je kwenye cheo chake katiba inasemaje.?
Maana kama unaongea kisiasa tambua huyu sio lema au mbowe mnawafunga funga kirahis... huyu ni CAG nasio member wa bunge means bunge halina nguvu juu yake.
Lazima CAG anyee debe. Kuna miiko ya utumishi wa umma ipo kwenye katiba. Naona watu wanamkuza sana CAG.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom