Hatua za kuingia kwenye uraibu

Hatua za kuingia kwenye uraibu

Joined
Mar 21, 2024
Posts
35
Reaction score
69
Kwenye maisha yetu ni rahisi sana kuingia kwenye changamoto za uraibu bila ya kutaka au kutotaka.

Lakini jambo la msingi ni kufahamu namna ya kumsaidia mtu.....

Lakini kabla ya hapo ni vema kufahamu kuwa huyu mtu anapitia hatua kama majaribio yaani experimentation ili kuingia kwenye uraibu mfano mtu anayekunywa pombe kwa mara ya kwanza.

Baada ya hapo huyu mtu ataingia kwenye hatua ya pili ambayo ni regular use ndo utasikia baba fulani ni mmywaji bwanaaaa

Hatua ya tatu ni tolerance yaani mtu tayari ameshazoea hio hali ......

Na mwisho kabisa ni utegemezi yaani dependence yaani kushindwa kuishi bila hio tabia.....

Ukishafika kwenye hatua hii basi jua kabisa wewe ni mraibu.......
 

Attachments

  • IMG_20261011_223629_013.webp
    IMG_20261011_223629_013.webp
    25.2 KB · Views: 2
  • IMG_20261011_223926_547.webp
    IMG_20261011_223926_547.webp
    71.3 KB · Views: 1
  • IMG_20261011_224258_708.webp
    IMG_20261011_224258_708.webp
    47 KB · Views: 1
  • IMG_20261011_224351_513.webp
    IMG_20261011_224351_513.webp
    27.3 KB · Views: 2
  • IMG_20261011_224533_223.webp
    IMG_20261011_224533_223.webp
    49.4 KB · Views: 2
  • IMG_20261011_224631_496.webp
    IMG_20261011_224631_496.webp
    37.5 KB · Views: 2
  • IMG_20261011_224800_405.webp
    IMG_20261011_224800_405.webp
    41.1 KB · Views: 2
  • IMG_20261011_224644_483.webp
    IMG_20261011_224644_483.webp
    37.5 KB · Views: 2
  • IMG_20261011_224904_494.webp
    IMG_20261011_224904_494.webp
    47.1 KB · Views: 2
  • IMG_20261011_225039_129.webp
    IMG_20261011_225039_129.webp
    64.9 KB · Views: 2
Back
Top Bottom