Nijuavyo mimi NECTA huwa hawatoi vyeti mara mbili isipokuwa copy ya original baada ya kupata vithibitisho vya kupotea kwa vyeti vya awali. Uthibitisho hujumuisha taarifa ya polisi na mahakama. Pole endapo umepatwa na tatizo hili.
Niliskia kwanza lazima upate police loss report kisha unaenda nayo kutangaza kwenye government gazette then unasubiri afta mda kadhaa then ndo wanakupa hiyo copy