Hatua za kufuata ukipotelewa na vyeti

MankaM

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
9,448
3,051
Habarini wakuu nahitaji kujuzwa hatua za kufuata ukipotelewa vyeti jinsi ya kuvifuatilia huko NECTA.
 
Nijuavyo mimi NECTA huwa hawatoi vyeti mara mbili isipokuwa copy ya original baada ya kupata vithibitisho vya kupotea kwa vyeti vya awali. Uthibitisho hujumuisha taarifa ya polisi na mahakama. Pole endapo umepatwa na tatizo hili.
 
Niliskia kwanza lazima upate police loss report kisha unaenda nayo kutangaza kwenye government gazette then unasubiri afta mda kadhaa then ndo wanakupa hiyo copy
 
Hizo process zake sio mchezo hapa kichwa kimevurugika endeleeni kunipa info jinsi ya kufanya wandugu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom