Hatua za kuchukua ukigundua kuwa ulipo kuna kamera za Siri

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
844
Reaction score
1,608
Kusanya ushahidi kwa kupiga picha na kuredi video za kamera hizo ulizogundua, andika muda, tarehe na eneo ulipogundua kamera hizo.

Funika kamera kwa tepe, karatasi au kitambaa bila kushika kamera hiyo ili usiache alama zako za vidole "Fingerprints" wala usiichomoe.

Ondoka eneo hilo ili kulinda usalama wako kisha wasiliana na vyombo vya usalama na mamlaka husika, ikiwezekana unaweza kuchukua hatua za kisheria kwa kurekodiwa bila ridhaa yako.
 
Je kama unarekodia na cia ya nchi husika mf wa warekodiwa ni wanasiasa,wafanya biashara je utasikilzwa?
 
Kusanya ushahidi kwa kupiga picha na kuredi video za kamera hizo ulizogundua, andika muda, tarehe na eneo ulipogundua kamera hizo.

Funika kamera kwa tepe, karatasi au kitambaa bila kushika kamera hiyo ili usiache alama zako za vidole "Fingerprints" wala usiichomoe.

Ondoka eneo hilo ili kulinda usalama wako kisha wasiliana na vyombo vya usalama na mamlaka husika, ikiwezekana unaweza kuchukua hatua za kisheria kwa kurekodiwa bila ridhaa yako.
Sasa maana ya surveillance camera ni nini?
 
Hapo utakuwa unavitengenezea vyombo vya usalama rushwa. Bongo kuna vyombo basi brother. Bora ukahama au kuamuru watoe haraka
 
Hapa sijaelewa unazungumzia kamera za siri maeneo gani? Maana mtu anaweza kuweka ofisini kwake.

Unataka kusema ilo ni kosa?

Kuna saa za ukutani, bulb zinakuwa na kamera za siri zinakuwa sitting rooms. Ilo ni kosa pia?
 
Back
Top Bottom