Hatua za kuanza kujifunza Computer Programming.

Hatua za kuanza kujifunza Computer Programming.

Muulize amesoma masomo gani, wakati mwingine masomo ni msingi wa kusoma/kujifunza kitu.
Hahaha! Sidhani kama kunatatizo lolote katika masomo aliyosoma, ishu hapa ni kwamba programming inahitaji mtu kujidhatiti na kufanya jitihada za hali ya juu kujifunza, inahitaji mbinu nyingi-hivo pia hilo sio jambo la kulisahau.

Kama atakuwa na nia ya kujifunza na kuhitaji msaada wa mambo tofauti tofauti. Anaweza akatembelea vyombo mbalimbali vya habari kujifunza kama hizi forums na tutorials na kadhalika. Atapata kujifunza sana. Pia awe ni mtu wa kucode kila siku.
 
Hapo kwenye kuwa na jitihada, kujidhatiti na mbinu nyingi, mkuu kuna aina ya masomo ambayo huwa yanamjenga mtu kuwa katika hali hiyo. Kuna masomo ambayo wengi huyakwepa kwa sababu yanahitaji kufikiri/kufikirisha sana ubongo, hayo ndiyo huwa ni msingi wa mambo kama hayo ya programing na jamii zingine za aina hiyo.
 
Sure kaka! Masomo kama hesabu na kadhalika ambayo yanahitaji ufikiriaji wa aina ya juu. Masomo kama haya kiukweli ndiyo humjenga programmer bora.
 
Sure kaka! Masomo kama hesabu na kadhalika ambayo yanahitaji ufikiriaji wa aina ya juu. Masomo kama haya kiukweli ndiyo humjenga programmer bora.
Definitely, sikupenda kutaja moja kwa moja. Mathematics is a mother of ALL. Nukta.
 
Asanteee sana mkuuu kwa somo lako
Pia wengine lugha babaa ndo kikwazo hata cha kusoma hvyo vitabu angalau hapa unatuelekeza tunaelewa
 
Hii ingekaa poa Sana kama ingekuwa attached na video au pictures.

Pamoja na hivyo mleta post nakupa pongezi.
 
wenzako wanakaa 4yrs darasani na mazoezi yakutosha wew hujui hata excell kweli utaweza
anyway kila kitu kinawezekana all the best
 
Sijaelewa chochote,naona ni mafunzo,kwa ambao wameshapitia mafunzo ya computer.
 
Misamiati iliyotumika,kama language,kwa kawaida twajua language ni lugha,hapa kwenye mafunzo haya,ina maana ngani,pamoja na misamiati mingi iliyotumika kwa lugha ya kitaalamu.
Aha language ni lugha katika mazingira ya Programming, lugha ni zile kama C++, Java, C na kadhalika ambazo zinatumika kutengeneza programu mbalimbali za kwenye kompyuta au hata katika website mfano hii JamiiForums.

Tembelea tovuti hii kupata tafsiri nyingine zaidi - English-Swahili Dictionary, Glosbe
 
Nimeona website yako but punguza mng'ao wa maandishi yako na vilevile utumie kiswahili kwenye post zako ili ujumbe uwafikie wengi.

Aha nashukuru sana kaka kwa feedback... Nitajitahidi kutumia kiswahili zaidi katika post zangu, hata hivo nimeweka Google Translator kwaajili ya kutranslate website language.

Asante. Shukrani zaidi!
 
wenzako wanakaa 4yrs darasani na mazoezi yakutosha wew hujui hata excell kweli utaweza
anyway kila kitu kinawezekana all the best
Sure! Kwa strategy kila kitu kinawezekana!!
 
Maneno mengi ila maliza yote ni moja tu.

Fungua course ya Harvard inaitwa CS50 umemaliza kila kitu, unaanza from zero to hero, ukimaliza ile course video to video na assignment zote ukafanya basi utakua ushajua muelekeo wako ni upi, na utakua umepata mwangaza mzuri sana wa programming ni nini, data structures, algorithms, in short you are a programmer tayari, unachohitaji ni kuchagua uende wapi tu na kupakazia.
 
Back
Top Bottom