Old - Hand
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 2,042
- 1,951
Aah ah aah eh
Naomba kufahamishwa faida ya programming..... na km unaajiriwa kazi yako itakua nin?Karibu, unatatizo wapi?
forum yako iko vizuri ila nashauri badili hiyo background color inaumiza macho.Nasdhukuru sana kaka! Ntaendelea kutoa masomo zaidi juu ya mambo hayo... pia karibu katika forum yangu ya HackerHub | Forum Board kujipatia ujuzi zaidi na watu wengine wajuao teknolojia.
Naomba kufahamishwa faida ya programming..... na km unaajiriwa kazi yako itakua nin?
Mkuu inawezekana kujifunza programming kwa mtu ambaye hana knowldge ya kutosha ya komputer? Tuseme km nina only basic knowledge ya komputer??Habari kaka! Hujaelewa sehemu gani labda nikueleweshe?
Hakika kaka... Inawezekana kabisa. nia ya kujifunza ipo utaweza... ila utatakiwa uingie class kupata ujuzi wa ziada na mbinu nyingine mbalimbali. ila programming ni somo ambalo yoyote anaweza akajifunza.Mkuu inawezekana kujifunza programming kwa mtu ambaye hana knowldge ya kutosha ya komputer? Tuseme km nina only basic knowledge ya komputer??
ndio kama computer yako inahard disk storage ya kuanzia 80GB na RAM atleast 2GB.. Program hizo hazina shida. Zitarun kabisa!!Mkuu mimi nataka kujifunza C language ila Machine yangu ni Mini laptop Specifications ziko chini sana ni kama tablet ivi naweza Kuweka izo software na zika run poa?
NI KWELI KAKA!Napenda kuongezea kidogo hapo juu...
kwa mtu anaeanza baada ya kuchagua kugha...njia iliorahisi ni kutumia video...hio uelewa wake unakua mkubwa kuliko kusoma kitabu...inakua mtu km upo darasani kwa mara ya jwanza...tafuta video youtube au sehemu yoyote...enza na basics kabisa halafu endelea mbele.
1.basic ya hio programme uliochagua,inatumika wapi na kadhalika
2:fanya practicals za hio basic.
3:nenda level nyingine ..expert level
4:nayo fanyia practicals...
NB:
kawaida kwenye computer practices ndio msingi wa kuelewa vitu vizuri sn...sio nazaria