Hatua za kuanza kujifunza Computer Programming.

kila nikianza kujifunza simalizi mwezi mzuka una pungia slowly nakuji kuta nisha acha kujifunza, nafikiri nahitaji kampan ya watu Kama wawili hivi tusome pamoja au niwe nafanya kazi for free Kwa Mtaalam as helper ili niweze kugain,
 
Samahani mkuu.. vp kuhusu soko la ajira kwa maprogrammer Tanzania?? Na Kwa njia zipi programmer anaweza kujiajirii mwnyewe??
 
Asante kwa swali lako. Ukiwa kama programmer cha kwanza hupaswi kuwa na mawazo ya kuajiriwa kwa sababu mawazo au idea utakazo kuwa nazo ndizo zitakazokupa hela. Nikimaanisha ukiwa na wazo la kutengeneza kifaa flani au program flani ambayo kweli itatatua tatizo fulani linaloikabili jamii husika, basi kila mtu ataitaka na ndipo utakapoanza kuingiza hela kupitia hivo... Programmer kama programmer kwa maana nyingine huitwa msuluhisha matatizo, hivo kam programmer unapaswa kufikiria matatizo yanayoisumbua jamii fulani na ndipo uyatengenezee solution.

Hivyo ndivyo programmer makini anatakiwa awe!
 
Asante kwa jibu Zuri mkuu.. na je ni chuo gan kizuri kibongo bongo Kwa kusomea programming Na computer science Kwa ujumla Kwa level ya bachelor degree??
 
Katika ulingo huu wa programming au masomo yoyote ya computer, hatuhesabii juhudi za mwalimu kukufundisha wewe, bali unatakiwa wewe kama unataka kuwa bora katika somo hilo utie juhudi zako mwenyewe kama wewe ili ukiongezea na juhudi za mwalimu upate kuwa katika nafasi nzuri.

Ila kama ungependa kusoma computer programming na masomo yahusianayo na hilo, ningekushauri uchague University of Dodoma ambako kuna Bachelor of Science in Software Engineering, ambayo inafundishwa vizuri tu.. Ikiambatana na bachelors nyingine kama Computer Information Security, Information Systems na kadhalika.
 
ndio kama computer yako inahard disk storage ya kuanzia 80GB na RAM atleast 2GB.. Program hizo hazina shida. Zitarun kabisa!!
HDD 30Gb boss Os tu win 10 imekula kama 20 ila ina slot ya Memory card je nkiweka memory ni kama pamtop ivi hii PC Ram ni 2GB, Intel ceronon 1.8Ghz
 
Hongera mtoa mada, ila ningependa ongezea kitu.

Kama kweli mtu umedhamiria kuwa nondo kwenye field ya programming basi chagua lugha moja komaa nayo kuanzia

Beginner level,
Intermediate level
Hadi Advanced level

Usionje onje. Soma elewa fanya mazoezi.

Ningeshauri mtu apitie kwenye hizi njia

Chagua language uipendayo

1.tumia web hii kujifunzia
Tutorials Park - Home Page

Hiyo site inakuanzia from beginner to Advanced

Tumia hii tovuti kufanya reference kama hujaelewahttps://www.javatpoint.com/

Ukielewa mambo concept au jambo let say loops tumia hii tovuti kuchukua mazoezi /exercise

Java programming Exercises, Practice, Solution - w3resource

Hii site inamazoezi ya lugha nyingi tu, so utachagua

>>unaweza ingia youtube pia kupata mwanga kupitia hii channel thenewboston

>> kama unalenga kwenye web usichoke soma hiki kitabu Manning | Secrets of the JavaScript Ninja

Kipo kwa pdf pia so kitafute kwa pdf utakipata

>> kupata quiz na exercise unaeza jisajili bure hapahttps://javabrains.io/

>>ukijiona umeiva iva japo simpaka uive sana jiunge hapahttps://www.codechef.com/

Last step

Anza kutengeneza crone za App mbalimbali au websites.

Ukifanya hayo kwamakini utakuwa moto mwengine. Programming nisafari na hakuna mwisho wakusoma, kuna libraries za language nyingi na framework usisahau kusoma.

.
>>Elimu haina mwisho, nilichagua java nikasoma now naona matunda yake. Sichoki kusoma hadi leo nasoma.

All the best kwa wote wanaopenda jifunza. Technology is best tool to change the word
 
I recommend this to be the best suggestion!
 
Back
Top Bottom