Hatua ya Rwanda Kimataifa Tanzania Tunafanya nini

Keneth12

Senior Member
Oct 12, 2015
114
162
Wana JF ebu tuangalie anacho kifanya Rwanda na harakati zake, sisi tukowapi wakati ndio tunatakiwa kuyafanya haya kabla ya nchi ndogo hazija shtuka. Someni hii habari.

Rwanda seeks to host FIFA Council Meeting

International Federation of Association Football (FIFA) is assessing Rwanda's bid to host the 2017 FIFA Executive Committee meeting in October according to the FIFA president, Gianni Infantino, reports the New Times.

" We are here to assess whether Rwanda is capable of hosting the meeting," the Swiss lawyer said adding that Rwanda has a very good chance of hosting the meeting because of its success in hosting continental football tournaments as well as global meetings.

Gianni Infantino said this while on a brief tour in Rwanda yesterday which saw him commission the Rwanda Football Federation (FERWAFA) hotel.

The FERWAFA hotel, whose construction works is expected to take 18 months, is estimated to cost Rwf3.85 billion. The hotel will be built in four phases and the first phase will include construction of 40 rooms. The hotel aims to generate long lasting and sustainable income for the Rwandan football association.

Source: CGTN Africa
1488118259255.jpg
 
Post murua! I hope,under Trump era,no country will be spoonfed in order to survive. Each country should be creative using its masterminds effectively even lobbing and whatever possible! If you keenly look in most African countries,their masterminds are busy in dealing with political antagonisms in order for their masters to remain longer in power. I appreciate Kagame's creativity and probably he will infuse his talents to EAC members.
 
Kwetu,viongozi wa mpira walipatikana kwa kuwanunua wajumbe wa mkutano mkuu.
Na hatimay
 
Nchi yetu ni tajiri sana, na waambieni Rwanda Hatutaki kujaribiwa
Wazungu wajanja sana wakiandaa wao gharama nyingi lazima ulipe WEWE unayeenda kuhudhuria huo mkutano.Ukiuandaa wewe wa wao hupenda dezo waje tu Kula kuku kwa kisingizio cha marketing the country wakirudi kwao.Rwanda inaji market sana abroad kwa Kwa gharama kubwa at the expense of Rwanda taxpayers sina tatizo Na hilo Rwanda ni nchi ambayo imetoka kwenye changamoto nyingi lakini sikubali kwa Tanzania kutulalia kwa kisingizio cha marketing Tanzania economy ruksa waende Rwanda
 
Wazungu wajanja sana wakiandaa wao gharama nyingi lazima ulipe mhusika mwandalizi wa mkutano wao waje tu Kula kuku kwa kisingizio cha marketing the country wakirudi kwao.Rwanda inaji market sana abroad kwa Kwa gharama kubwa at the expense of Rwanda taxpayers sina tatizo Na hilo Rwanda ni nchi ambayo imetoka kwenye changamoto nyingi lakini sikubali kwa Tanzania kutulalia kwa kisingizio cha marketing Tanzania economy ruksa waende Rwanda
Mkuu,hiyo ni investment! Hilo jengo hata wakirudi,hawaondoki nalo,tayari litakuwa ni International base kwa shughuli za kimataifa. Unaweza kuwa na resources chache ukatake risk at an international level, ukakuta umemzidi kimapato anayeogopa huku ana resources lukuki.
 
Wazungu wajanja sana wakiandaa wao gharama nyingi lazima ulipe mhusika mwandalizi wa mkutano wao waje tu Kula kuku kwa kisingizio cha marketing the country wakirudi kwao.Rwanda inaji market sana abroad kwa Kwa gharama kubwa at the expense of Rwanda taxpayers sina tatizo Na hilo Rwanda ni nchi ambayo imetoka kwenye changamoto nyingi lakini sikubali kwa Tanzania kutulalia kwa kisingizio cha marketing Tanzania economy ruksa waende Rwanda
Anyway rwanda wao wanakila sababu ya kuhangaika huku na kule ili kujisafisha na kasumba ya vita, manake ilikumbwa na historia mbaya ya umwagaji damu
 
TFF badala ya kujenga office tower ili wapangishe na kuongeza kipato wakaamua kwenda kupangisha ofisi PPF tower! hapo kuna jinsi ya kuwakimbiza na kushindana na Rwanda?!
 
Wazungu wajanja sana wakiandaa wao gharama nyingi lazima ulipe mhusika mwandalizi wa mkutano wao waje tu Kula kuku kwa kisingizio cha marketing the country wakirudi kwao.Rwanda inaji market sana abroad kwa Kwa gharama kubwa at the expense of Rwanda taxpayers sina tatizo Na hilo Rwanda ni nchi ambayo imetoka kwenye changamoto nyingi lakini sikubali kwa Tanzania kutulalia kwa kisingizio cha marketing Tanzania economy ruksa waende Rwanda
Akili za Lumumba bhana!!!
 
Vyoo vya uwanja wa Taifa vinakushinda kwa sasa

National team rank ta FIFA Tuko sijui 160 huko napata shida sana na mipango ya mchezo nchini
 
Back
Top Bottom