Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,113
- 144,582
Nilikwenda benki moja nikaambiwa mpaka sasa hawajapokea taarifa rasimi juu ya hilo na Meneja wa Benki akaonyesha wasiwasi kuhusu hatua hii ya BOT kama kweli itatekelezwa.Ndio inahusu pia riba ya mikopo ya wafanyakazi ambayo inajumuishwa kwenye kile kipengele cha mfuko wa shilingi trilioni moja.
Tatizo mabenki yanaweza kupunguza muda wa kukopa iwapo watashusha riba kufikia kiwango kisichozidi asilimia 10 kwa mwaka.Yaani kama inahusu na watumishi, wacha nisiwe na papala nisubili mwezi wa tisa nifanye top up aisee maana hali si hali dah
Hilo nalo neno, ngoja nitamuuliza meneja wa tawi la NMB hapa Mishap kesho..Tatizo mabenki yanaweza kupunguza muda wa kukopa iwapo watashusha riba kufikia kiwango kisichozidi asilimia 10 kwa mwaka.
Wakipunguza muda wa kulipa mkopo, maana yake makato yataongezeka na kufanya lengo la kumsaidia mkopaji lisitimie kama lilivyokusudiwa hivyo nashauri BOT wahakikishe mabenki hayapunguzi muda wa watumishi kukopa.
Bila shaka uko sahihi kabisa.Punguzo la riba linahusu bank zitakazo pata sehemu ya shs 1tr ambazo watakopeshwa kwa riba ya 3% na wao kuzikopesha kwa riba isiyo zidi 10% kwa PRIVATE sector. Siyo wafanyakazi ila wafanyabiashara. Kumbuka utaratibu huu una lenga kusisimua biashara...siyo kukopesha individual.
Kwa wafanyakazi wategemee punguzo ambalo litatolewa na ma bank husika baada ya kupunguza amana za bank zinazowekwa BoT kama guarantee. Hakuna unafuu wa moja kwa moja kwenye personal loans.
Usisahau kutupa mrejesho.Hilo nalo neno, ngoja nitamuuliza meneja wa tawi la NMB hapa Mishap kesho..
Maana njaa zimezidi
Sio kweli,.wewe ndio kasome vizuri hasa katika kile kipengele cha BOT kutenga trilioni moja(kipengele iv) kwa ajili ya kukopesha mabenki kwa asilimia 3 ili na benki zitoe mkopp isiyozidi riba ya asilimia 10.Mikopo itakayoshuka riba ni mikopo inayohusu kilimo, kwa lugha rahisi hii inawahusu wafanyabiashara wa sekta ya kilimo. Kasome tena lile tangazo vizuri.
Mzee wamesema kabisa kwa ajili ya mikopo ya kilimo, kama unataka kujipa matumaini ya uongo endelea kukaza shingo tu.Sio kweli,.wewe ndio kasome vizuri hasa katika kile kipengele cha BOT kutenga trilioni moja(kipengele iv) kwa ajili ya kukopesha mabenki kwa asilimia 3 ili na benki zitoe mkopp isiyozidi riba ya asilimia 10.
Kasema wanasubiri maelekezo ya wizara kupitia kwa KMUsisahau kutupa mrejesho.
Private sector ni pamoja na individual. Yeyote anaweza kunufaika na utaratibu huu. Ingawa hofu yangu ni kama benki za biashara zitakubaliana na huu utaratibu. Benki zinaweza kuamua kugoma na zishiriki kwenye utaratibu huu, na kupelekea lengo la BOT kutofikiwa. Inaelekea utaratibu huu ulifikiwa na BOT bila kushirikisha benki za biashara, ndio maana unaona mpake leo hii Benki za biashara hazina taarifa rasmi ya uwepo wa utaratibu huuu.Punguzo la riba linahusu bank zitakazo pata sehemu ya shs 1tr ambazo watakopeshwa kwa riba ya 3% na wao kuzikopesha kwa riba isiyo zidi 10% kwa PRIVATE sector. Siyo wafanyakazi ila wafanyabiashara. Kumbuka utaratibu huu una lenga kusisimua biashara...siyo kukopesha individual.
Kwa wafanyakazi wategemee punguzo ambalo litatolewa na ma bank husika baada ya kupunguza amana za bank zinazowekwa BoT kama guarantee. Hakuna unafuu wa moja kwa moja kwenye personal loans.
Imefika ngapi mkuu?Yes, equit wameshashusha.
Kwa asilimia ngapi na inaanza lini?Yes, equit wameshashusha.
Muda mrefu 14Kwa asilimia ngapi na inaanza lini?