enzo1988
JF-Expert Member
- May 26, 2018
- 2,491
- 9,671
Huyu mzee sijui anakitafuta kitu gani. Kitu kimoja ninachokiamini ni kuwa ukweli halisi wa kinachoendelea huko ni wao tu wakubwa ndiyo wanaufahamu. Inawezekana kabisa sijui kujiunga Nato, kuuondoa Unazi n.k ikawa ni picha ya nje lakini picha ya ndani wanafahamu ni wao tu!!!
Unatakiwa kufahamu kuwa dunia inaendeshwa kwa usiri wa hali ya juu mno ambao mimi na wewe hatuufahamu kwani siku zote huwa tunapewa picha ya nje tu na hapa ndipo inakuja dhana ya Ujasusi. Muda utasema!!!
Source:CNN May 03 2022

Putin may soon officially declare war on Ukraine, Western officials say