MasterGamaliel
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 816
- 877
Watu wenye muono huu ndio wanaohama vyama vyao kwa kuhofia udictator isije ukawafuta. Ulimwengu wa Leo kwa nchi yetu dictator atasomwa tu vitabuni!
Building a nation vs dictatorship : case study on Mwalimu Nyerere by Dr. E. Michael Jones
Source: E. Michael Jones
Na hatua kuu kabisa ni kuhakikisha elimu ya bure isiyo na viwango ili muendelee kuwa wapumbavu msiweze kuhoji haki zenu na kuchambua mambo ya maana
hahaaa wabongo nyokoooCC. ********
hakuna namna mkuu, copy imufikie tu..hahaaa wabongo nyokooo
hahaaa anahusika vipi sas nahuu Uzihakuna namna mkuu, copy imufikie tu..
Huu uzi unamuhusu sana. natamani ni-print harafu niwatumie pale magogoni kwa DHL. wait a minute.., nimepata wazo..nitalipia front page ya gazeti na ku-publish hii article! unaonaje mkuu, si itabamba?hahaaa anahusika vipi sas nahuu Uzi
au yeye ndiye aliyeuandika hahaa
Naomba softcopy ya hicho kitabuMadikteta wote wanapita njia ileile
Umesoma thread vizuri? Hebu rudia tena kusoma kwa umakini kuanzia point ya kwanza hadi ya mwisho kisha connect dot na nchi unayoishi. Ukipata jibu. Tuma sasa. Hakikisha umeweka fedha za kutosha kwa familia yako. Kesi ya uchochezi lazima ikuhusu wwHuu uzi unamuhusu sana. natamani ni-print harafu niwatumie pale magogoni kwa DHL. wait a minute.., nimepata wazo..nitalipia front page ya gazeti na ku-publish hii article! unaonaje mkuu, si itabamba?
hahaa mnooo ukisha iprint nitumie namimi niione siku utakayo tuma pia nishuhudieHuu uzi unamuhusu sana. natamani ni-print harafu niwatumie pale magogoni kwa DHL. wait a minute.., nimepata wazo..nitalipia front page ya gazeti na ku-publish hii article! unaonaje mkuu, si itabamba?