Hattrick sio mpirani na Ndoani pia ipo.!! ndivyo unavyoweza kusema baada ya Haji Manara Leo kuongeza mke mwingine wa 3 bint anaitwa Rushaynah Athumani.Kumbuka.
Kwa utamaduni wa kiafrika na kwa dini ya kiislam kuoa hata wake wanne haina tatizo,
View attachment 2369147
Daaah...Rushaynah jamani!kwelii Pesa mwana kharamu...na alivyo mremboo!!Huyu ndy Yule binti wa miaka 23 ambaye ni msaidizi wake wa kazi?
heri ndoa yenye baraka kuzidi michepuko, hata babu zetu nao wameishi kwa kuoa wake wengi na wala hakukuwa na tatizo.Kwa mwaka ndoa mbili? Hii sunna ya kuoa waislam wanaipenda kuliko kuswali
Hata peponi tutaoa pia huku nyinyi mnaimba mapambio sisi tunaburidika na warembo wazuri wazuri na nguvu ya tendo tutaongezewa hamna haja ya Mkongo kuleKwa mwaka ndoa mbili? Hii sunna ya kuoa waislam wanaipenda kuliko kuswali
Hii ni njia ya uzazi wa mpango na kukosa ongezeko la uzazi duniani.Huwa nashangaa huku kwengine maandiko yameruhusu kuongeza mke na hata manabii waliishi na wake zao kwa baraka zote za mwenyezi Mungu lakini ajabu siku hizi viongozi wa dini wanawabana wanaume kuoa mke mmoja tu kwa kuyapiga sarakasi maandiko, matokeo yake wanaume hawa waliobanwa wanazini nje ya ndoa kwa kuongeza michepuko ambayo wengine wamewapangia nyumba na watoto wamezaa nao.